naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Kwa uzoefu wangu Twiga anapenda Sana kusimama barabarani hasa anapoona gari wakiwa karibu watajisogeza tu, wengi wako hivyo, madereva wanatakiwa wawe waangalifu sana Sana katika hili, binafsi mtu akigonga mnyama mwingine nitamtetea lakini akigonga Twiga ni uzembe labda kuwe na hitilafu kwenye gari.Hapana mkuu haina haja ya kuchepusha na wala sio rocket science, tufanye yafuatayo, Ile barabara ipanuliwe pamoja na kuwa na yellow line pia isafishwe pande zote mbili kwa 30m,hii itasaidia kuwazuia wanyama wadogo ambao wanagongwa zaidi to stray eneo hili maana wataogopa kuwa exposed kushambuliwa na predators, wenzetu Botswana [emoji1052] wamefanya hivi na ni wanyama wachache sana wanaogongwa, from Nata hadi kasane zaidi ya 300km ni almost mbuga ya wanyama, haina matuta wala mabango ya vitisho ila wametumia science, ukifika kasane wild animals wapo mjini kabisa na hakuna tatizo lolote, ni keep on your on line, Tanzania yetu mihemko imezidi mno
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app