Dereva aliyemgonga Twiga kulipa faini Tsh Milioni 34.9

Kwa uzoefu wangu Twiga anapenda Sana kusimama barabarani hasa anapoona gari wakiwa karibu watajisogeza tu, wengi wako hivyo, madereva wanatakiwa wawe waangalifu sana Sana katika hili, binafsi mtu akigonga mnyama mwingine nitamtetea lakini akigonga Twiga ni uzembe labda kuwe na hitilafu kwenye gari.

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ina maana jf in a vijana waliozaliwa mwaka 2000 na kuendelea? Nashangaa kuona mnashangaa sheria zilizotungwa na kupitishwa enzi za Zakhia Megji akiwa waziri wa mali asili na Utalii?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…