RC Chalamila kaza na kubana hapo hapo, jiji lazima lifunguke.
Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaichukia kwasababu watendaji wengi wa serikali wanajikumbatia wao, na sisi wengine ni kama vile hatuhusiki na hii Nchi" -
EliasElias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha -Sandali, Temeke, Jijini Dar es Salaam Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo
Pia soma: Chalamila umemsikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli
Ikabidi nirudie kusikiliza jina lake nilipoona la Mbeya basi tena hao wana balaa kama huko Mkoa wa Songwe,Tunduma wanaongea tu bila hofu..Tena kasema mara mbili..!
Tunaichukia serikali Sana mweshimiwa
Kweli Watu wamechoshwa na maisha,huku ndo tunakotaka kwenda kuanza kusema live live kama wakenya😂
Lumumba Hapa Wameumbuliwa Watanuna Kama Madume Ya Shupaza/Mavi Ya Mbuzi ♤♧Huo ndo uhalisia
Ni ukichaa kuwekeza mabilioni katika kujenga Bandari Kavu ya Kwala, kisha kuendelea kutoa leseni za ICD
Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaichukia kwasababu watendaji wengi wa serikali wanajikumbatia wao, na sisi wengine ni kama vile hatuhusiki na hii Nchi" -
EliasElias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha -Sandali, Temeke, Jijini Dar es Salaam Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo
Pia soma: Chalamila umemsikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli
Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata utaratibu akashusha nje ya wakati" -Elias"Sisi hapa watu wote ukiangalia tunaichukia sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaichukia kwasababu watendaji wengi wa serikali wanajikumbatia wao, na sisi wengine ni kama vile hatuhusiki na hii Nchi" -
EliasElias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha -Sandali, Temeke, Jijini Dar es Salaam Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo
Pia soma: Chalamila umemsikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli
Kuna Hadi ambao njaa Kali wanaisapoti ccm, wabongo nati zimelegeaNi chawa tu wanufaika ndio wanaoipenda hii serikali haramu.
Vijana wa Dully watampa kesi ya ugaidiSoon tutaanza kusikia katumiwa jumbe za vitisho
Au maigizo ya mama tunakupenda ya madereva
Hii nchi serikali haipendi kuambiwa ukwel