Dereva amwambia RC Chalamila kuwa Tunaichukia Serikali, Rushwa imejaa

Huyu jamaa kaongea kwa nidhamu sana huku akiiponda Serikali na viongozi wake kwa nini ICD zipo mjini wakati iliyojengwa ipo wazi..
Huko kwala ni mapori,crane iko moja tu na mbovu
Hata wakati ule bi mkubwa alipoenda hukushtukia kama mchukua video live alikuwa anachkua sehemu moja tu
Kule ni kama wame pa dump

Ova
 
Huko kwala ni mapori,crane iko moja tu na mbovu
Hata wakati ule bi mkubwa alipoenda hukushtukia kama mchukua video live alikuwa anachkua sehemu moja tu
Kule ni kama wame pa dump

Ova
Crane sio ishu wanunue waziweke pale waache ujanja ujanja kwa ma truck mabovu kuzurula mjini mara unasikia kontena limedondokea gari ndogo..
 
Binafsi kuna muda nadhani wapo baadhi ya viongozi wanatamani mambo yaende kwenye mistari ila hawana hiyo power, sasa inapotokea MTU kama huyu akaongea basi huwa wanafurahi maana ujumbe umefika, bila shaka wamekuwa wamesadiwa kufikisha ujumbe.
Ninaamini Mh.Chalamila hana uwezo wa kufanya lolote juu ya hilo.
 
Hivi ni kwa nini makontena yote yanayoenda nje ya mkoa wa dar yasiende kwala kwa Treni wakayachukulie huko?kwenda mikoani na nje ya nchi?
Tunatoa mabasi yanayoudumia jamii na hatujaona shida yake tunaacha malori ambayo hayana huduma yoyote kwa jamii zaidi sana ni kuharibu barabara tu na usumbufu wa watu kurudi majumban usiku.
 
Chalamila ana uwezo wa kuweka mambo sawa hata kama sio 💯, ila akili hana
 
Safiii derevaa
 
Hahahahaha!
Nyumbu zimeamka kwa shangwe zikifikiria kwamba shoga lao kubwa, lissu, limechukia nchi🤣🤣🤣
Of course wa kutochukia serikali wapo Kila awamu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, yupo Hadi 2030......wahuni lazima waichukie serikali yake.
 
Walichosikia nyumbu wa JF; "tundu lissu amechukua nchi, ndiye Raisi anaapishwa kesho!" 🤣🤣🤣
 
RC Chalamila kaza na kubana hapo hapo, jiji lazima lifunguke.

watu wanapenda maendeleo lakini wanachukia mabadiliko 🐒

Pamoja na kwamba nia ni njema sana, wakati mwingine tufikirie kiuhalisia
1. TUMERUHUSU ICD ZIKAE MJINI KATI TENA BILA PARKING, KOSA LA NANI?
2. HATUJAWEKA SEHEMU ZA KUEGESHA MALORI MJINI, KOSA LA NANI?
3. TULIPITISHA BILIONI 90 ZIKAJENGA BANDARI KAVU KWALA, KWANINI HAITUMIKI?
Kwa hiyo tunayafukuza malori yaende kupaki wapi wakati hatujaweka parking ya malori mjini?

KAMA MALORI HAYATAKIWI MJINI NAFIKIRI TUTOE KWANZA ICD ZOTE MJINI KATI ZIENDE KWALA TUNGEMALIZA CHANGAMOTO KIRAHISI KWA KUWA; MALORI YANAFUATA ICD (ni kama wanafunzi wanavyo fuata shule)
 
ndio RC anafanyia kazi lalamiko lako.
Kua mstahilivu tu na mwenye subra 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…