Dereva Bajaji ana Maisha Mazuri Kuliko Watumishi wa Umma

Dereva Bajaji ana Maisha Mazuri Kuliko Watumishi wa Umma

Siyo watumishi wa umma, ana hela kuliko walimu. 😁
 
Dereva wa bajaj ni bora sana.

Mafao, sijui mafaa, ngoja hata nisiseme, wanaishia ku repair nyumba, kujenga, au Kuanza kufuga kuku ambayo yote hufa maana hawana uzoefuwa biashara...

Kutokana na kuwa na uhakika wa Dereva wa bajaj wa:

Bima
Mshahara
Mikopo,

Atajibiidisha na kuwa na akiba na:

-Atajenga.
  • Atafungua biashara mke asimamie.
  • Atakuwa na Bima...

Bado ana uhuru fulani wa kufanya mambo yake.....
Kwanza dereva Bajaji mmoliki haioiti miaka 2 keshajenga na kununua Bajaj nyingine Kisha anawapa madereva wa kawaida
 
..wakuu si kila mara mnasema huko kwa Gov kuna job security yenye mambo mazuri?..sasa job security inashindwa vipi na boda&bajaji?..job security si ndio kila kitu?😀
Wanachofuata ndio hicho kinachoitwa job security ambayo kwenye kazi zingine hakuna ila Kuna bima za Mali ni mtu mwenyewe kuamua kuweka.
 
Mimi nadhani stability ya maisha kwangu ndio muhimu kuliko kiasi cha fedha ninachoingiza, amani ya nafsi na kuridhika kulingana na kipimo cha mafanikio ni suala la mtu binafsi. Unajua kwanini mapadre wana life expectancy kubwa kuliko waumini wao wa kawaida wenye pesa, familia, mamlaka, uhuru na vitu vingi? Ni kukubali maisha yao.

Mafanikio ya mtu hayapimwi na jirani yake. Sijawahi ona dereva bajaji mwenye mafanikio ya kuigwa labda unaowaona wewe, ila watumishi wenye mafanikio kwa mishahara midogo nawaona.
 
Watumishi wanamiliki bajaji na piki piki,Ila madereva bajaji sio watumishi,ivi watu mnavutaga ugoro kabla hamjapost utumbo?[emoji23]
 
Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..
hilivio mtu alie jiajiri inatakiwa amzidi maisha muajiriwa mfano mtu anapokea 500 kwa mwezi ukigawa kwasiku sawa na sh 17300 usafri bado kula bado kusaidia ndugu bado

kijana alie jiajiri kila siku anaweza weke sh 10,000/kibubu kwa mwezi 300 kwa mwaka utabata jibu mwenyewe kwa miaka 5 tayali anaweza fungua kazi yake nzhuli tu lakini kijana huyo awe na akili ya kujua anacho kifanya
 
Vipi huyu kijana kusaidia ndugu?
 
Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..

Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia wote wa Umma.
kuna mabandiko Mengine yanaonyesha jinsi gani mwandishi ni mfinyu wa ufahamu. Dereva bajaji ashinde ubora wa maisha kuliko watumishi karibia wote wa serikali? kwamba ana kipato gani kwa mwezi tuanzie hapo.
 
Wewe ndio mfinyu wa kuelewa ,soma upya
 
Back
Top Bottom