Dereva Bajaji ana Maisha Mazuri Kuliko Watumishi wa Umma

Wewe ndio mfinyu wa kuelewa ,soma upya
Wewe Kama umeshindwa mutumia fursa ya ufanyakazi wa uma usione kila mtu yuko Kama wewe. Sio kila mtumishi wa umma anajenga kwa mkopo, kupanga pia ni kuchagua. Kama mtu hawezi kufanya biashara ameamua kuishi na hiyo kazi hadi kufa ni chaguo lake.
Kama utumishi wa umma unakufelisha acha kazi kaendeshe bajaji then ulete ushuhuda hapa.
 
Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..

Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia wote wa Umma.

Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..

Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.

Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?

Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.

Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Siku ukijua kuwa BOSS wa dereva BAJAJ ni huyo huyo Mtumishi wa Umma unayemdharau utakuwa umekuwa mtu mzima.
Mtumishi huyu huyu anayeweza kutumia mshahara wake kukopa hadi 100M umlinganishe na dereva Bajaj??? Dereva Bajaj huyu huyu ambaye naye anafanya hiyo kazi kwakuwa ajira za serikali amekosa?
Be serious lkn pia Mwanaume hutakiwi kufuata mkumbo saaaana.
Kwakuwa mkimbizi LEMA kasema jambo basi nawewe unalibeba kama msukule vile. Naona kama Lema ni limbukeni fulani ambaye alikuwa hajawahi kupata exposure, ile kwenda Ulaya amerudi kila jambo anaona umaskini yaani kwake VIKOBA, KUPIGA DEGE, BODA BODA anaona kama havifai kwa mantiki hiyo anataka kila alichoona CANADA kifanyike na Tanzania which is incorrect. Mtu huyu anahitaji ELIMU
 
Wewe Kama umeshindwa mutumia fursa ya ufanyakazi wa uma usione kila mtu yuko Kama wewe. Sio kila mtumishi wa umma anajenga kwa mkopo, kupanga pia ni kuchagua. Kama mtu hawezi kufanya biashara ameamua kuishi na hiyo kazi hadi kufa ni chaguo lake.
Kama utumishi wa umma unakufelisha acha kazi kaendeshe bajaji then ulete ushuhuda hapa.
Mtumishi wa Umma na Biashara wapi na wapi? Unafanya Kwa favour ya kazi ukihamishwa au Kustaafu nayo inakufa au kufukuzwa inakufa unakuwa hoi.

Robo tatu ya Watumishi wa Umma ukiacha walimu hufa au Kufilisika punde baada ya kustaafu ,ni nadra sana kufikisha miaka 75 Kwa sababu hawana skills za maisha Nje ya Ajira.
 
Siku ukijua kuwa BOSS wa dereva BAJAJ ni huyo huyo Mtumishi wa Umma unayemdharau utakuwa umekuwa mtu mzima.
Mtumishi huyu huyu anayeweza kutumia mshahara wake kukopa hadi 100M umlinganishe na dereva Bajaj??? Dereva Bajaj huyu huyu ambaye naye anafanya hiyo kazi kwakuwa ajira za serikali amekosa?
Be serious lkn pia Mwanaume hutakiwi kufuata mkumbo saaaana.
Kwakuwa mkimbizi LEMA kasema jambo basi nawewe unalibeba kama msukule vile. Naona kama Lema ni limbukeni fulani ambaye alikuwa hajawahi kupata exposure, ile kwenda Ulaya amerudi kila jambo anaona umaskini yaani kwake VIKOBA, KUPIGA DEGE, BODA BODA anaona kama havifai kwa mantiki hiyo anataka kila alichoona CANADA kifanyike na Tanzania which is incorrect. Mtu huyu anahitaji ELIMU
Mleta mada kapwaya sana kwa kweli. Zile indirect benefit za mtumishi wa umma kwanza hazijui kabisa. Pia hajui maboss wa hizo bajaji ni akina nani. Inaonekana ni mtu wa kufeli na kutafuta wa kusingizia.
 
Siku ukijua kuwa BOSS wa dereva BAJAJ ni huyo huyo Mtumishi wa Umma unayemdharau utakuwa umekuwa mtu mzima.
Mtumishi huyu huyu anayeweza kutumia mshahara wake kukopa hadi 100M umlinganishe na dereva Bajaj??? Dereva Bajaj huyu huyu ambaye naye anafanya hiyo kazi kwakuwa ajira za serikali amekosa?
Be serious lkn pia Mwanaume hutakiwi kufuata mkumbo saaaana.
Kwakuwa mkimbizi LEMA kasema jambo basi nawewe unalibeba kama msukule vile. Naona kama Lema ni limbukeni fulani ambaye alikuwa hajawahi kupata exposure, ile kwenda Ulaya amerudi kila jambo anaona umaskini yaani kwake VIKOBA, KUPIGA DEGE, BODA BODA anaona kama havifai kwa mantiki hiyo anataka kila alichoona CANADA kifanyike na Tanzania which is incorrect. Mtu huyu anahitaji ELIMU
Porojo hizo,wapo ila ni wachache na ndio wanapigwa sana hao Watumishi
 
Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..

Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia robo tatu wa Umma.

Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..

Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.

Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?

Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.

Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Job security boss hatuwez kua sawa. Bajaj ikiwaka moto je😀
 
Mtumishi wa Umma na Biashara wapi na wapi? Unafanya Kwa favour ya kazi ukihamishwa au Kustaafu nayo inakufa au kufukuzwa inakufa unakuwa hoi.

Robo tatu ya Watumishi wa Umma ukiacha walimu hufa au Kufilisika punde baada ya kustaafu ,ni nadra sana kufikisha miaka 75 Kwa sababu hawana skills za maisha Nje ya Ajira.
Wenzio tunafanya biashara na kuingiza mamilioni nje ya mshahara. Wewe endelea kukariri hadithi za alinacha. Skills huna wewe sie tunazo maana tukitoka kazini tunajichanganya na washkaji mtaani. Wewe ukitoka kazini unaenda kugombania rimoti na Watoto nyumbani.
 
Mtumishi wa Umma na Biashara wapi na wapi? Unafanya Kwa favour ya kazi ukihamishwa au Kustaafu nayo inakufa au kufukuzwa inakufa unakuwa hoi.

Robo tatu ya Watumishi wa Umma ukiacha walimu hufa au Kufilisika punde baada ya kustaafu ,ni nadra sana kufikisha miaka 75 Kwa sababu hawana skills za maisha Nje ya Ajira.
Kwa imani ya ukristo, imeandikwa katika Biblia kuwa umri wa kuishi mwanadamu ni miaka 70 na kwa neema unaweza fika miaka 80. Kwa hiyo kusema hawatoboi miaka 75 sio kwa sababu ya kuwa watumishi wa umma, hayo ni maelekezo ya Mungu, wachache sana watafika miaka hiyo 70. Pia lifespan ya Tanzania bila kujali kazi ni miaka 50 kama sikosei.

Ukiangalia hoja yako, ili mtu afilisike ni lazima awe na mali (ukwasi). Sasa ikiwa mtumishi wa umma ana maisha magumu, atafilisika nini?? Ni kama unasema kuwa akiwa kazini mtumishi wa umma anakuwa na mali, sasa haieleweki vipi mwenye mali awe na maisha magumu
 
Mlianza na walimu asa hivi mume amua kwa watumishi wote yaani umesahau kuna watumishi wanalipwa take home kuanzia 1.5 M nakuendelea acheni ujinga basi.

Kuna siku nili ita bolt yaani bajaji baada yakufanya manunuzi kadhaa kariakoo baada ya stori nyingi na dereva bajaji akawa analalamika yaani broo leo ndo siku ya hesabu ya Bosi alafu Bosi wangu Mjeda yuko pale Makongo daah sijui itakuwaje asije kuchukua chombo tuu! Nikamjibu usjali ww endelea kupigana itatimia tu.

Alafu leo hii unasema Bajaji anamaisha mazuri kuliko mtumishi wakati uhalisia ulivyo hao watumishi wa serikali ndo wanao watengenezea maisha hao unaosema.

Kuna mwengine nilipanda yeye ni dereva bodaboda yeye akawa anamuongelea bosi wake ni hakimu anaboda zinafika 30 akienda tu safari za dodoma akirudi utaskia simu inaita dogo nitafutie dereva wa boda na chuma mpya.

Alafu mkuu ww unaleta stori za kijiweni.
 
Hizo ni hesabu za kipumbavu.
Nilipanga na dereva wa bajaji Temeke kata ya Sandali. Tena ni bajaji za posta ambako kuna Hela
Mimi nimejenga nyumba ya around 20 milions mtoto anasoma private.
Yule dereva wa bajaji bado kapanga ile nyumba mpaka sasa.
Kajenga kijumba Vikindu cha ******* sana cha around 4 milions.
Kula kwa shida , watoto wako kayumba.
Yule dereva si mlevi , si mzizi.
Ni ujinga wa hali ya juu kumlinganisha dereva wa bajaji au pikipiki na mtumishi wa umma yeyote yule.
Labda huyo mtumishi awe mwendawazimu.
Nawajua madereva wengi tu wa bajaji na bodaboda , hizi hesabu za akina kibena wa ubongo kids zitoe hapa
 
Kuna kijana nilimsaidia hela anunue bajaji yake huko Tanzania... mwaka 2020 ameinunua hiyo bajaji ...sasa ni mwaka 2023 ameshamaliza ujenzi wa nyumba yake ... yaani ni nyumba nzuri kweli mpaka nimeshangaa ...na mwaka huu anaoa.. nimevutiwa na hiyo biashara ya usafiri kwa njia ya bajaji hapo dar es salaam ila naona faida kubwa ni kwa wale wanaoendesha bajaji zao wenyewe.. sio hawa wanaoendesha bajaji za wengine
 
Back
Top Bottom