Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

wewe ni shuhuda mkuu?

ongeza maelezo tafadhali
 
Maswali chokozi
Huyo dada alikaa seat ya nyuma, dereva Bajaj anaweza vipi kumsukuma huku anaendesha?
 
Sawa asante
 
Safi sana mkuu, wewe ndo umeeleza na umeeleweka vyema. Maelezo ya mtoa mada yanaonesha wazi tatizo lipo kwa hivyo vidada, maana uongo ni mwingi mnoo!

Yaani mtu aendeshe bajaji ataweza vipi kukusukuma? Hivyo vidada vinaonesha vina njaa sana na kichwani hamna kitu maana uongo huu hata mtoto wa darasa la 2 hawezi kukubali.
 
Poleeni sana kwa tatizo mtapona na mtakaa sawa Hawa madereva mda mwingine vichwa vyao vipo kama madagaa tu
Kikubwa maelewano kuna raia mmoja wa kigeni nahisi ni muethiopia yule siku hio alitoka hotelini akaenda mlimani city hotel aliyopo ipo Ubungo tu hapa, sasa alipomaliza shughuli zake mlimani akarequest bolt ndio hizo Bajaj basi ikaja ikamchukua yule Madam kwa kweli Kiswahili hajui anajua kingereza basi akamuelekeza anaenda hotel fulani Bajaj akajitia ujuaji Bwana si akanyoosha Posta kuelekea Mwenge nyoosha mpaka Posta huko Mida ni usiku ishafika yule mgeni anashtuka wapo town akabidi amwambie mboni Safari imekua ndefu sana huku umenileta wapi? Jamaa kingereza hajui basi ikabidi apige Simu hotelini wakamwambia ampe Jamaa simu wamuelekeze Jamaa akaelekezwa basi ikabidi atoke kule mpaka hotel sasa balaa likaja kwenye kulipana yule Madam anasema Jamaa amefanya makusudi kutengeza route ndefu ili alipwe Hela nyingi na Jamaa anasema Madam alikua anachezea Simu tu bila kuangalia anapoenda kwa hio ni uzembe wake nikaitwa kusuruhisha kwenye kuwasikiliza maana madam anaongea kingereza Jamaa wa Bajaj kingereza hajui lugha gongana ikabidi raia mwingine wa kiganda palepale hotelini aingilie ugomvi akasema basi ili kuondoa mzozo yeye atalipia gharama zote Madam akagoma anasema huyu dereva mshenzi huyu nilimuelekeza tupite huku kaniona Mimi mgeni ndio kaamua kunifanyia hivi mboni dereva alienileta mlimani city hakunifanyia hivi, alisononeka sana yule Madam Ila Mwisho ilibidi tu alipe tena kwa shingo upande na kwa uchungu sana maana alimchaji Pesa nyingi mara 3 ya alivyotakiwa kumlipa, kwa hio baadhi ya madereva usitaarabu Sifuri
 
Brother fanyeni ivo iwe fundisho haya madem ya mjini miyeyusho sana.
Tabia mbovu na kauli pia mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…