Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Wakuu.
Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal.
Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi.
Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili.
Vigezo vyao sio vigumu sana ila naona vinashawishi kubadirisha uelekeo wa fani kama hadi sasa hauelewi.
Najua competition itakua serious ila still probability ni kubwa.