Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.

Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.

Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.

Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.

Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.

Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.

Source: BBC Swahili leo.

Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."

At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."

_________________________________

MODs mmerekebisha title ya uzi mkapotosha!

Hakuna aliyekuwa kasema dereva ana Corona.

Title ilikuwa wazi: Dereva aliyemchukua Mgonjwa wa kwanza wa Corona yaani - Tanzania Corona Patient Zero

Hapo MODs rekebisheni tafadhali.

Kama hana Corona mbona ni la kheri mno, hakuna anayemwombea mabaya.
______________________________
 
Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
  1. Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
  2. Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
 
At this stage, "we need a total strategy now. A partial strategy is not an option anymore.

You have to suggest type of strategy the government needs to take, eg, provision of nose/mouth masks, hands sanitizers, antiseptics, etc for public uses etc. Avoiding Unnecessary gatherings etc.
 
Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
  1. Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
  2. Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
Mshaambiwa aliji'quarantine mwenyewe

Mnaumwa kbs nyie
Mnajiona TZ keki kwamba hamuwezi ugua sio

gonjwa liko Marekani nk nyie mna nini..inahusuu?
Asisafiri alizuiwa kwani!!?
 
IMG_20200317_194504.jpg
 
Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
  1. Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
  2. Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.

Unajua maana ya ‘shuttle’ boss ukiwa pale KIA?

Je wote wanaopanda ‘shuttle’ hua hawana magari makwao?

Si bora alipanda hio tax,je angeamua kupanda ‘shuttle’ ingekuaje?
 
You have to suggest type of strategy the government needs to take, eg, provision of nose/mouth masks, hands sanitizers, antiseptics, etc for public uses etc. Avoiding Unnecessary gatherings etc.

Mkuu kwenye hili tumeandika kweli:

1. Sitisha mikusanyiko yote kwa angalau14 days.
2. Funga mipaka yote angalau 14 days
3. Sitisha miradi mikubwa ya maendeleo kwanza.
4. Ahirisha deadlines za kodi

Tupambane na huyu adui kwa nguvu moja. Huku tukiusoma upepo kwanza kuwa unaelekea wapi.

It is not life as usual any more. This is really emergency. Wewe huoni hivyo mkuu?

Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?
 
Back
Top Bottom