Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
  1. Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
  2. Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
ati ndio huyu bi isa wa bella
IMG-20200317-WA0071.jpeg
IMG-20200317-WA0072.jpeg
IMG-20200317-WA0073.jpeg
IMG-20200317-WA0076.jpeg
IMG-20200317-WA0074.jpeg
IMG-20200317-WA0075.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali tunahitaji maamuzi magumu sasa.

Vinginevyo mnatulazimisha kuiga mifano ya Law Society of Kenya ya kuwapeleka mahakamani kuwashinikiza kuchukua maamuzi yaliyo maslahi kamili yetu sisi wananchi.

Hizi nusu nusu zenu ambapo:

1. Mipaka iko wazi
2. Wageni wanaendekeza kuja kama kwao
3. Maisha yanaendelea life as usual
4. Mikusanyiko ya watu ingalipo
5. Nk

Haijibu matazamio yetu toka kwenu.

Kumbukeni mnatuongoza sisi - tu kama dhamana.

Tafadhalini mtusikie. Hatutaki kufa hivi if we can help it.
 
Back
Top Bottom