camily
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 257
- 621
Sioni tatizo kwa huyo mmama..
Kwanza yeye ni mtanzania anaruhusiwa kuingia nchini muda wowote ule.. Nchi ni ya kwetu sote..
Wakulaumiwa ni hao watu wa hapo airport na wizara husika, kwa kushindwa kuwaweka watu karantini kwa izo siku 14...
Nawajua wachina kadhaa kwenye mradi mmoja hapa tz,, wamepita airport kutoka china vizuri na hawakuwekwa karantini, wamekuja kuwekwa huku na wachina wenzao..
Viongozi tuliowapa dhamana ndo wakulaumiwa kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app