Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Sidhani kama wakimpima leo watakuta kitu, itasoma negative tu
Majibu baada ya14 days
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama wakimpima leo watakuta kitu, itasoma negative tu
Hospital! hawawezi kumwachilia mapema hivi I think
Yaani angejua tunavyojisikia huku mtaani asingetamka hayo maneno
Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
- Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
- Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
- Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
- Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
- Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
- Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Fikrs ovu kbs wanazo baadhi ya watukweli bado una kazi kaka na kama kila mtanzania ana waza kama wewe inahitajika nguvu ya ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank youAngekuwa ndugu yako ungesema hivyo apigwe shaba chukua labda kuna mdogo wenu anasoma huko nchi za watu na mama alienda kumuona ungesema apingwe shaba sometimes think beyond youre imagination
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, ila nimeuliza hivyo kutokana na nature ya kazi yangu inahitaji morning meeting kila siku na tupo saba sasa tukiendelea kukutana hatutakuwa tunakiuka agizo la Mh PM?Mkuu unaonaje makanisani, vyuoni ambako madarasa bado maisha kama kawaida, magerezani, kwenye misiba, harusi, nyomi za kwenye dala dala nk.
Tuanze na hizo kabla ya kwenda kwenye nitty gritty za mikusanyiko kuanzia wangapi au vipi mkuu?
Hakuna duh jamani.Waliambiwa wapambane kutoa tahadhari huko bungeni wao wakaamua kupambana na Zitto ambaye amewalaza chali.Wakaambiwa tena jamani tahadhari hawakujali wakakimbilia kupigana na wanawake wasiokuwa na hatia na kuwavunja mikono.Fikiria leo hii andengenye yu wapi....
Sawa, ila nimeuliza hivyo kutokana na nature ya kazi yangu inahitaji morning meeting kila siku na tupo saba sasa tukiendelea kukutana hatutakuwa tunakiuka agizo la Mh PM?
Unahisi umenijibu?Tuanze na hizo nyomi tutaenda kwenye nitty gritty baada ya kusoma upepo.
Mimi kada ya chama cha dikteta
Kwa sababu ya mafua tunayouguaga miaka yote na kila wakati au kwasababu yamepewa jina jipya???Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.
Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.
Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.
Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.
Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.
Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.
Source: BBC Swahili leo.
Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."
At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Ni kweli Mkuu huyu mama amedhamiria kuangamiza wengine kwa kuwaambukiza virusi vya corona, kwa sababu vyanzo vinasema huko Ulaya alikotoka alikaa kwenye family iliyokwishapata maambukizi ya virusi vya Corona.Huyo mama ashitakiwe kwa kesi za mauaji, hyo ilikuwa makusudi kuua familia za watu wengine, alijua kabisa ni mgonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningesema kwa kuwahurumia ambao ningewaambukiza bila sababu, kumbuka yeye alisafiri kwa maslahi yake binafsiWewe ungewaambia?!
We si ungekimbia kabisa kwenda kwenu?!