relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Huyo mama ajifiche hukohuko maana akiingia mtaani tutamgombania kama mwizi wa bats mtaani hovyo sana huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifuata mchepuko wake hoteliniWatu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
- Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
- Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Kwa sababu ya mafua tunayouguaga miaka yote na kila wakati au kwasababu yamepewa jina jipya???
#corona is overrated.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi umenijibu?
Ulitaka asafiri kwa maslahi ya nani?..Ningesema kwa kuwahurumia ambao ningewaambukiza bila sababu, kumbuka yeye alisafiri kwa maslahi yake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara unambiwa unakaa siku kumi na nne so huyu kachukua siku ngapi kambiniKumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.
Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.
Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.
Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.
Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.
Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.
Source: BBC Swahili leo.
Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."
At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Enheeeee?Mara unambiwa unakaa siku kumi na nne so huyu kachukua siku ngapi kambini
Sent using Jamii Forums mobile app
Heading iko sawasawa na content?Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.
Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.
Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.
Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.
Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.
Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.
Source: BBC Swahili leo.
Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."
At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Jana anasema kapona hivyo anataka kuoga na kujipoa apendeze aongee na watu, huyu zinamtosha kweli? Badala ya kuomba msamaha Kwa kutuletea janga yeye anawaza kujipodoaWatu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
- Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
- Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Haya ni maneno tu ya watu; Isabela Route anasafiri sana, hata huku Ughaibuni huwa anakuja sana;Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
- Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
- Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Baadhi ya watu wanafki sanaHaya ni maneno tu ya watu; Isabela Route anasafiri sana, hata huku Ughaibuni huwa anakuja sana;
Ni dada ambaye kweli kabisa ni Mstaarabu ni jirani kule Njiro, Korona Block....(), Ana asili ya Ustaarabu sana;
Huwa anakuja Ughaibuni kwa ajili ya Machangizo na Kutafuta wadhamini kwa ajili ya Shule, ana Shule zake na huwa anaseal na mambo ya Watoto yatima etc;
Last time niliporudi, alinialika Kanisani kwao Calvary Temple Arusha; Kwa tuliomzoea amekuwa anasafiri sana Tena hii ya Juzi hakuwa na Route Nyingi Maana Hakwenda France, Switzerland and Finland sijaona kwenye route zake ;
Hivyo Kwa kadiri ya Ninavyomfahamu kidogo tu yeye ni safari zake hazikuwa intention kama watu wanavyosema Mitandaoni.
Sababu ya kutokwenda Home ilikuwa alijihisi ndivyo sivyo, na kwa sababu akienda Home posibility ya Ku-spread incase ana virusi ni kubwa; Ndio akaamua kwenda Hotel kwanza, na kisha kwenda mount meru mwenyewe?? Aliposhuka hakupanda Shuttle pale KIA, ili kupunguza maambukizi; Aliamua Kupanda Taxi; Hivyo hayoyote yanafuta dalili kwamba Hakuwa na Intention mbaya.
Hana ustaarabu wowote, tarehe 3 March mataifa mengi yalikuwa affected, huo ustaarabu kwa nn asingeutumia kuahirisha hiyo safari? Usimtetee hana ustaarabu wowote!!!Haya ni maneno tu ya watu; Isabela Route anasafiri sana, hata huku Ughaibuni huwa anakuja sana;
Ni dada ambaye kweli kabisa ni Mstaarabu ni jirani kule Njiro, Korona Block....(), Ana asili ya Ustaarabu sana;
Huwa anakuja Ughaibuni kwa ajili ya Machangizo na Kutafuta wadhamini kwa ajili ya Shule, ana Shule zake na huwa anaseal na mambo ya Watoto yatima etc;
Last time niliporudi, alinialika Kanisani kwao Calvary Temple Arusha; Kwa tuliomzoea amekuwa anasafiri sana Tena hii ya Juzi hakuwa na Route Nyingi Maana Hakwenda France, Switzerland and Finland sijaona kwenye route zake ;
Hivyo Kwa kadiri ya Ninavyomfahamu kidogo tu yeye ni safari zake hazikuwa intention kama watu wanavyosema Mitandaoni.
Sababu ya kutokwenda Home ilikuwa alijihisi ndivyo sivyo, na kwa sababu akienda Home posibility ya Ku-spread incase ana virusi ni kubwa; Ndio akaamua kwenda Hotel kwanza, na kisha kwenda mount meru mwenyewe?? Aliposhuka hakupanda Shuttle pale KIA, ili kupunguza maambukizi; Aliamua Kupanda Taxi; Hivyo hayoyote yanafuta dalili kwamba Hakuwa na Intention mbaya.
Mama mwenyewe huyu hapa
Lakini yeye alijua fika kwamba anaumwa ndo maana hakwenda nyumvani kwake kwa kuhofia kuambukiza familia yake.Ila kwa kuwa ameomba radhi amekuwa muungwana.Ulitaka asafiri kwa maslahi ya nani?..
Mshaambiwa Airport hakuonekana kama anaumwa ,.
Corona ugonjwa wa watu weupe.Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.