Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Basi umemaliza Isabella tutamlaumu kwa kuleta Corona Tz!
 
Kwani nani alienda kujiuza?!
Profile ya Isabela yaonekana ni mwanamke mwenye uwezo

*mjahamiane-mjamiiane
Sasa mbona kwake ni karibu kwanini hakwenda kwake na ana miradi yake kwanini hakwenda hapo aende kwingine? Tunachosema angejali afya za wengine, kwani wanaojiuza hawana uwezo? Kuna watu wanafanya biashara hiyo kama starehe hujawahi ona mtoto ana hama nyumbani japo kuna kila kitu mpaka watu wanamshangaa kakosa nini, nakutakia mchana mwema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waiter zungusha ,


NASUBILI VYUO VIKUU VIFUNGWE TU , MAANA NIME POSTPONE KISA KUSHINGWA KUMALIZIA ADA , THEN MWEZI WA 10 NDO VIFUNGULIWE .
Tayari vimefungwa mkuu bila shaka una chembechembe za furaha kiaina
 

Hapana huyu mama hajafanya kusudi na Hana kosa.

Kwanza Kama visa yake iliisha na kupaswa kurudi nchini mwake ni lazima arudi vinginevyo angeweza kupata shida na mamlaka za uhamiaji huko alipokuwa.

Pili aliporudi aliamua kujiweka self quarantine kwa lengo la kuona Kama atakuwa na shida. Kumbuka hakuwa na familia zozote alipoingia nchini.

Na hata hotelini aliminimize movement. Imagine angeenda nyumbani Kisha akaanza kuingia sokoni, daldala, saloon,kanisani ingekuwaje.

Angekuwa anafanya makusudi angekuwa mdhururaji ili kuhakikisha anafanya maambukizi lkaini sivyo.

Kwangu Mimi nampongeza Sana Tena Sana kwa hatua aliyofanya kuepusha makubwa kuanzia familia yake, jamaa na marafiki. Na alionyesha uungwana kushirikiana na mmalaka husika pale alipoona dalili.

Tumpe hongera na badala ya kumlaumu.

By the way wengi wetu watapata huu ugonjwa lakini chanzo hakutakuwa huyu mama. Tusubiri muda ndio mwalimu
 
Waiter zungusha ,


NASUBILI VYUO VIKUU VIFUNGWE TU , MAANA NIME POSTPONE KISA KUSHINGWA KUMALIZIA ADA , THEN MWEZI WA 10 NDO VIFUNGULIWE .
Yametimia, sasa umefurahi? haya elezea hisia zako kwa sie tuliomaliza ada na tulitegemea mwzi wa saba tuwetumemaliza hayo masomo!!
 
Sasa Mimi sijaelewa, hivi umeuliza swali au umetoa taarifa? Maaana heading na Maelezo ni vitu tofauti Kabisa maana umetoa taarifa kuwa hana corona, halafu huku unalalamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu maza nyo.ko sana katia watu hasara sana kwa upuuzi wake wa kwenda sehemu hatarishi kipindi hiki. Halafu baada ya kujijua kaukwaa anajifanya kuepaepa kisanii, pumba.fffu sana huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have to suggest type of strategy the government needs to take, eg, provision of nose/mouth masks, hands sanitizers, antiseptics, etc for public uses etc. Avoiding Unnecessary gatherings etc.
Uchaguzi uahirishwe na mikutano ya kisiasa,Mungu kachukia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have to suggest type of strategy the government needs to take, eg, provision of nose/mouth masks, hands sanitizers, antiseptics, etc for public uses etc. Avoiding Unnecessary gatherings etc.
I would like to make suggestions:
Close the border and don't allow visitors from outside who are just coming for non essential and urgent business
Install and equip laboratories in all zone headquarters eg. Mwanza, Arusha/Moshi, Mbeya and Dodoma instead of depending on one from Dar
Check all buses that they have all necessary sanitation accessories and ensuring spacing of pax
All offices, supermarket are not clouded and they have sanitize and thermo gun in each office, supermakert and thermal scanner at
the border, airport


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…