Dereva wa bajaji na pikipiki ya mkataba anahitajika

Daaah yahn na hii hali yangu ya uchumu sijui kuride pikipiki wala bajaji poor me mchongo umenipita
 
Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji.

Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na hivyo nimeamua kuzitoa bajaji na bodaboda kwa kijana ataye weza kuendana na taratibu na sheria zetu.

👉Bajaji iliyopo ni namba b TV's, IPO vizurii kwa maana engine bado imara Sana na hata body yake ni ngumu bado.

👉 Bodaboda IPO namba c na d na zote ziko vyema so kwa atakaye hitaji au kuwa na ndugu mwenye uhitaji basi atanijuza hapa au pm.🙏

👉 I mean no malice to nobody

View attachment 2635187
Em nipe mim hyo TVs nianze kukusanya abiria
 
Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji.

Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na hivyo nimeamua kuzitoa bajaji na bodaboda kwa kijana ataye weza kuendana na taratibu na sheria zetu.

👉Bajaji iliyopo ni namba b TV's, IPO vizurii kwa maana engine bado imara Sana na hata body yake ni ngumu bado.

👉 Bodaboda IPO namba c na d na zote ziko vyema so kwa atakaye hitaji au kuwa na ndugu mwenye uhitaji basi atanijuza hapa au pm.🙏

👉 I mean no malice to nobody

View attachment 2635187Nipe Namba ya simu Mkuu tuwasiliane tuonane tufanye majubaliano 0782983919
 
Back
Top Bottom