Dereva wa bajaji na pikipiki ya mkataba anahitajika

Nauza Piki piki yangu.Boxer BM 125 (MC 908 DJC).
Kuna dogo nilimpa afanyie kazi tumeshindwana na sasa hivi sina mda wa kufatiliana fatiliana.
Namba yangu: 0714431530.
Location Kigamboni-Maweni.
Mkuu kula laki 8
 
Daaah yahn na hii hali yangu ya uchumu sijui kuride pikipiki wala bajaji poor me mchongo umenipita
 
Em nipe mim hyo TVs nianze kukusanya abiria
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…