Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

wameshakamatwa Manyara ndugu, ni wanyarwanda kweli. watapelekwa mahakamani.
 
Nguvu inayokupa ujasiri ndo ninayomaanisha. Mtanganyika anaweza kuwa na misuli na nguvu ila ikakosekana nguvu inayoleta huo ujasiri unaotuambia hapa.
 
Wakati wa ku-overtake suala la mbele kuwa na usalama mdogo si la dereva anaepitwa, ni la dereva anaetaka ku overtake. Inawezekana kweli kuwa dereva wa basi anataka ku overtake sehemu isiyofaa, lakini sio juu ya dereva anaepitwa kuona anafanyiwa itu kisichofaa
 
hivi hiyo basi si ilikuwa na abria ? wakwaacha tu hao wauwaji wakauwa na kupanda magari yao wakaondoa? hiki kisa sizani kama ni kweli
Tanzania ni watu wapole sana, la sivyo mbona CCM wangekuwa wameshaondoshwa kwa nguvu? Kila siku CCM inawatia wananchi vidole machoni na sehemu nyingine lakini wala, wananchi hawajali wanaendelea na maisha yao ya kila siku!
 
Hadithi ya kutunga. Hata ungekuwa na akili za kama mwanachama wa CCM huwezi kupeleka maiti Polisi na kusema sisi tulimwongezea kipigo hadi akafa ndio tumemleta kwenu sasa
 
Atakuja kukusaidia ndio maana alishuka kuwasaidia maana amebeba Roho za watu wakamuua yeye sababu amefelisha mpango wao wa kuwaua abiria
Dereva kashuka sabb ya kuona gari ya boss wake ilitaka kuharibiwa au kusababishiwa ajali
Hawa jamaa wangekuwa wanajali roho za watu wasinge kuwa wanaendesha kama wamekatwa vichwa barabarani
 
Nimesikia Kamanda Makarani akiongea mimi kwa namna fulani nimemwelewa sana yaani inakuaje mtu anatolewa uhai na ninyi abiria mmekaa kimya tu? Mnaona watu wanazozana mnatoa tu mimacho! Na wengine wanashoot? Aisee baadh ya watz wanahitaji somo kubwa mno ni ile hata unakuta dereva na konda wake on the daldala anacheleewesha anapak kila kituo hata kama hamna anayepanda wala kushuka, unakuta mnacheleweshwa konda anasubiria mtu avae sidiria au anawezakatisha route au asimalize route sasa wabong* walivyo waoga wao wanakaa kimya tu au akijitokeza abiria mmoja kumwadabisha konda kuuliza why anawachelewesha wao kama mang’..o… wanakaa kimya bafala wamtetee abiria wakati wanacheleweshwa wote kuna somo la ujasiri latakiwa kujifunza hapa anyway RIP Dere wa Mtei alichokifanya dereva wa lori hakipaswi kuvumiliwa hata chembe na hakikubaliki
 
Hakuna Kampuni ya maroli inayochukua miaka 25 ni kuanzia Miaka 35 kuendelea na uwe na uzoefu Miaka isiyopungua 5/6 ndio wanakupa kazi, Kampuni nyingi ndio ipo hivyo kwa hio muuaji kilichosababisha aue sio umri
Duhhh!!! Mkuu,video hapo ya mkuu wa polisi alisema umri gani? Fatilia vizuri
 
Kama kweli basi naungana na msemo wa Mzee Kenyatta wa Tanganyika ni Maiti,kwahiyo hao Abiria walikuwa wanaangalia tu
 
Tanzagiza bhana mwenzao anauliwa yenyewe yanachukua video ingetakuwa hao wauwaji wawe mishikaki na hilo lori lirud Rwanda kama chuma chakavu
 
Ukiangazia uendeshaji wa haya malori na Mabus kwa ujumla wake, kiukweli madereva wengi wa mabus wako very rough barabarani kuliko hata wa malori. Tukirudi kwenye hiyo clip nimesikitika sana kwamba magari yanapita bila kujali mwenzao anauwawa. Watanzania sijui wamekuwa je nowadays kwenye kuteteana daaah very sad 😭
 
hivi hiyo basi si ilikuwa na abria ? wakwaacha tu hao wauwaji wakauwa na kupanda magari yao wakaondoa? hiki kisa sizani kama ni kweli
Hujaona clips na taarifa ya jeshi la polisi?? Abiria kwenye bus usiwaamini hata chembe, imagine dereva anaendesha bus vibaya lakini trafiki akiwasimamisha na kuuliza kuna shida yoyote kwenye uendeshaji wa Bus? Utawasikia hakunaaa, yaani unafiki unafiki unafiki...
 
Sahivi watu wako tayari kurecord Video ukiwa unapigwa hadi kifo ili waende wakaipublish mtandaoni hiyo clip lakini siyo kukusaidia ndo tulipofikia
 
Abiria abiria....Sasa wewe unasafiri na bus,dereva kasimama anaenda kupigana na dereva mwingine nje ya bus kwahio utashuka ukaingilie? Hata mimi wala nisingehangaika.
Sawa hutaingilia na dereva wenu kauwawa hiyo safari mtafika sasa? Au wewe utaparamia uskani uendeshe? Hivi unafikiri hiyo safari baada ya dereva kuuwawa walikaa masaa mangapi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…