Kwahiyo hata kama sio Ku over take basi ni ruhusa kwa binadamu kumshambulia mkosaji wake!?Sidhani kama ni kuover take tu!
Sio sahihi mkuu .Kwahiyo hata kama sio Ku over take basi ni ruhusa kwa binadamu kumshambulia mkosaji wake!?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ngoja nicomment kama kulwa jilalaWameanza tena kupiga raia eeh, ingekuwa enzi za CDF flani hivi kijana hana kazi ni hivi tu sasahivi jeshi limekuwa kama shamba la bibi hakuna nidhamu hakuna nini kila mtu anajiendea tu anavyotaka, mimi ningezaa naye hata kama mwanajeshi maaneener zake
Acha apigwe tu hakuna namna. Siku mkiacha kuogopa manguo yao mtaishi kwa kujiamini.Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika eneo la Picha ya Ndege Kibaha mkoani Pwani.