LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Wakati mwingine wanajeshi huwa wanajiona kuwa wako juu ya sheria. Kuna wengine walivunja sheria, waliovateki kwenye zebra, hapo hapo wakagonga pikipiki, gari yao ikapasuka tairi la mbele. Wakapaki pembeni kubadilisha tairi huku wananchi wakiwakoromea na wao hawakujibu kitu, walikuwa wapole kiasi cha kuwafanya wananchi nao kupoa. Hakuna aliyejeruhiwa zaidi ya gari yao kupasuka tairi. Wanajeshi wafanya fujo ni wale vijana wageni na kazi wapenda sifa na ulimbukeni kupiga wananchi au wanajeshi wenzao wa majeshi mengine