Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wapuuzi sana hawa madereva huwa wana overtake na kuchomekea bila staha!Au aliwachomekea wajeda
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi sana hawa madereva huwa wana overtake na kuchomekea bila staha!Au aliwachomekea wajeda
Ova
Una overtake Gari la Jeshi je, kama una Bomu la Kuwalipua? Kwani huyo Dereva wa hilo Basi angeenda na Mwendo wao au angewaamba apite ili wamruhusu angepungukiwa na nini?
SahihiSasa Gari ya jeshi haitakiwi ku overtake? Mbna km hii habari sijaelewa, au kuna linginee??
Hahaha [emoji16][emoji23] nitapamban atapambanAcha apigwe tu hakuna namna. Siku mkiacha kuogopa manguo yao mtaishi kwa kujiamini.
Kuna mwamba last year aliwakalisha chini askari 3 kwa upuuzi wao, walikosea wakamkadiria vibaya wakaingia cha kike
Umeongea sahihi lakini haupo sahihi pia.hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumdhuru mwingine..hapo hao mabaka wafuate sheriaa....dereva wa jeshi ana utovu wa nidham...ambayo ni sifa mbaya kwa jeshi...na amimi mpaka sasa ninavyo comment hapa hatakuwepo uraiani,naye atashughulikiwa kijeshi.Sahihi
Mwanajeshi muda wote huwa kwenye operation hujui wanaenda wapi
Wakutaka u overtake huwa hawana shida anakuwashia taa ya indicator ile ya kuonyesha anaenda kushoto kukuruhusu u overtake
Nimeshakutana nao wakiwa kwenye msafara wa kusafirisha silaha kwenye convoy ukiwa unaenda taratibu nyuma kukiwa na land-rover full zinejaa Askari wa jeshi na Military police wakikuwa wakifika sehemu imenyooka wanaruhusu magari ya overtake msafara bila shida
Kwa madereva mlioletewa leseni nyumbani kwa kuhonga i angalia indicator akiwasha ya kuonyesha kama anaenda kushoto overtake usipoona usithubutu
Akiwasha indicator ya kulia pia usithubutu usije sema ohh mbona hakati kulia huyu bwege wakati kawasha indicator ya kulia. Hujui kilicho mbele .Taa akiwasha indicator kulia ni kukutahadharisha kuwa huko mbele hakuko salama wewe hukuoni mimi nakuona usiaje ujuaji wa ohhh mbona haendi huko kulia.Ukijitia ujuaji ndio wale Hugongana uso kwa uso na gari akiwa ana overtake na hata akifa madereva wazoefu wanamuona bwege tu aliyekufa kibwege
Asilimia kubwa za ajali hutokana na madereva wanao overtake wakati mbele hawaoni vizuri
Ni sahihi ni umri ndio unawasumbua na ukosefu wa nidhamuWakati mwingine wanajeshi huwa wanajiona kuwa wako juu ya sheria. Kuna wengine walivunja sheria, waliovateki kwenye zebra, hapo hapo wakagonga pikipiki, gari yao ikapasuka tairi la mbele. Wakapaki pembeni kubadilisha tairi huku wananchi wakiwakoromea na wao hawakujibu kitu, walikuwa wapole kiasi cha kuwafanya wananchi nao kupoa. Hakuna aliyejeruhiwa zaidi ya gari yao kupasuka tairi. Wanajeshi wafanya fujo ni wale vijana wageni na kazi wapenda sifa na ulimbukeni kupiga wananchi au wanajeshi wenzao wa majeshi mengine
Kambini ni eneo la jeshi raia ulienda kufuata nini ike sio sehemu ya kwenda kupiga picha za selfie na hawara zakoCheo dhamana....nilishawahi kudakwa na wajeda kambi moja dar...ila hawakutaka kunichukua maelezo yangu kila nikiomba wanisikilize ndio kwanza wanazidisha kipigo ...yaani akishakupiga kofi ndio mizuka yake inazidi kupanda.baada ya kunifanya walivyofanya ikifika zamu yao, baada ya masaa mawili na wao waliiona freshi uzuri ukiishi na watu vizuri mjini basi utaishi kwa amani ilipigwa simu moja pale kambini hahaha wale wajeda walikoma kunijua... Nikawa nikienda pale heshima zote.nadhani hizi za kupiga raia ni hulka tu ya mtu.kambini wapewa maadili mazuri kabisa.tena siku hizi wanafukuzwa kazi kirahisi tu.sheria zinawabana sana.ukipata tatizo kareport tu..utasaidiwa hao sio kama police kubebana bebana.
Nchi ngumu hii, tunakoelekea sijuiDereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika eneo la Picha ya Ndege Kibaha mkoani Pwani.
Wanajeshi ndo kawaida yao. Huwa hawataki kupitwa.Kosa ni ku mu over take or Kuna lingine mkuu
Hakuna kitu kama hicho, njoo unijaribu mimi na hizo style zako za mchongo ndio utajua hujui 😀!Mwaka 2016 kigoma
Kikosi number 24Kj Vamia
Niliwapa kichapo wanajeshi 7 mpaka kanal wa kipindi hicho hapo nyingo akaja kuniomba nisuwafundishe Raia style zangu za mapigano
Mnahonga mnatoka,dawa yenu ni vupigo tuHuyo Koplo wa Jeshi hana akili, anatakiwa afanye kazi aliyoajiriwa jeshini na sio kufanyakazi za Usalama Barabarani.
Kama kuna makosa yalifanywa na Dereva wa basi alitakiwa atoe taarifa kwenye kitengo cha Usalama Barabarani.
Huyo mwanajeshi akamatwe apelekwe mahakamani Sheria ichukue mkondo wake
VipigoMnahonga mnatoka,dawa yenu ni vupigo tu
Kukiwacna vita au operation sheria zinasimamaUmeongea sahihi lakini haupo sahihi pia.hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumdhuru mwingine..hapo hao mabaka wafuate sheriaa....dereva wa jeshi ana utovu wa nidham...ambayo ni sifa mbaya kwa jeshi...na amimi mpaka sasa ninavyo comment hapa hatakuwepo uraiani,naye atashughulikiwa kijeshi.
Mi style zangu ni Kapuera na Muai ThaiNiliwapiga style ya merantau hawatonisahau
Boss ikulu raia anaingia sembuse kambini!!!inategemeana na kile kilichokupeleka.halafu mbona umejibu kwa makasiriko sana au na wewe ni mmoja wa wale jamaa waliokiona cha mtema kuni.??!Kambini ni eneo la jeshi raia ulienda kufuata nini ike sio sehemu ya kwenda kupiga picha za selfie na hawara zako
Tena hao walikuhurumia nadhani uliingia kambi ambayo wababe walikuwa wameenda kulewa officers mess
Ikulu unaenda kwa appointment na kituo cha jeshi unaenda kwa appointment huingii tu kòte huko huingii tu kama unaenda sokoni kariakoo au choo cha kulipia au cha bure cha jumuiyaBoss ikulu raia anaingia sembuse kambini!!!inategemeana na kile kilichokupeleka.halafu mbona umejibu kwa makasiriko sana au na wewe ni mmoja wa wale jamaa waliokiona cha mtema kuni.??!