Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika eneo la Picha ya Ndege Kibaha mkoani Pwani.



Jeshi la polisi limechukua hatua kali dhidi ya mtuhumia,

Hawajachukua hatua yoyote wanaogopa kipigo
 
Ikulu unaenda kwa appointment na kituo cha jeshi unaenda kwa appointment huingii tu kòte huko huingii tu kama unaenda sokoni kariakoo au choo cha kulipia au cha bure cha jumuiya
Naona majibu unayo ila una jichetua tu..sijui leo upo kwenye siku zako za hot?? basi unaandika unavyojisikia na hot yako ili mradi tu na wengine tukereke
 
Una overtake Gari la Jeshi je, kama una Bomu la Kuwalipua? Kwani huyo Dereva wa hilo Basi angeenda na Mwendo wao au angewaamba apite ili wamruhusu angepungukiwa na nini?

Vipigo vingine kutoka kwa Wanajeshi huwa mnavitaka na Kuvilazimisha Wenyewe.

Na kwa niwajuavyo Wanajeshi ( Wajeda ) huenda kuna Kauli Mbaya au Ujeuri fulani huyo Dereva aliwatolea na hao Jamaa huwa hawabipiwi na ukiwabipu tu Wao wanakupigia.

Huyo Dereva hayuko ICU ili nikamuone?
Kweli a Popoma will remain Popoma, whether he goes to school, or not.
 
Raia unalipa kodi kila uchwao ili hiyo kodi yako,iwawezeshe watu wa vitengo mbalimbali serikalini,wapate mafunzo,halafu wakipata mafunzo,wanakuja kuyatumia dhidi yako,tena kwenye hizi zama, aisee.
Dereva alitakiwa ajilinde naye kwa namna yoyote ile,ionekane amepambana,ni unyonge sana,kukubali kupigwa bila kuriakti kivyovyote vile.
 
Nina uhakika huo msafara haukuwa na afisa wa jeshi(maafisa ndo wenye akili pekee jeshini) na huyo aliyefanya hilo shambulio kama sio private basi coplo maana hawa jamaa huwa ni wajinga sana.

Mnawasifia tu huko mtaani lakini kambini hao jamaa zenu wanaendeshwa kama wamenunuliwa vile. Na kama hilo shitaka litafikishwa kambini huyo mtenda tukio atafurahi.

Askari hatakiwi kuonesha utovu wa nidhamu inabidi awe mstari wa mbele kufuata sheria na sio kuwa na sifa ya kuvunja sheria. Na ndiyo maana askari akibainika kaharibu kazi lazima apigwe drill ili akili ikae sawa.
 
Askari hatakiwi kuonesha utovu wa nidhamu inabidi awe mstari wa mbele kufuata sheria na sio kuwa na sifa ya kuvunja sheria. Na ndiyo maana askari akibainika kaharibu kazi lazima apigwe drill ili akili ikae sawa.
Sheria ziko za kijeshi na kiraia wewe fafanua
 
ushawahi kusikia raia kupiga mwanajeshi? we mwanajeshi unamchukulia sawa na hawa maplosi uliowazoea siyo?
Upumbavu mwingine huu, no one is above the law, nani kampa mamlaka ya mwanajeshi fake huyu kupiga raia?,hii ni road rage na pumbavu huyu ayafanye haya nchini, nchi zingine angekula risasi, wapumbavu wa middle class wanaona ni sawa kuishi kama second citizen ,why mshenzi huyu hakupeleka malalamiko yake kwa traffic cops ambao wapo wengi tu kwenye hii T1?pumbavu huyu je just walk away with murder
 
Miongoni mwa mambo ninayochukia hapa duniani ni uonevu.
Upo kama mimi mkuu.nikionaga mtu sehem anaonewa na lile jambo lipo ndani ya uwezo wangu basi huo napenda kutoa msaada..hadi wenzangu wengine wananiambiaga napenda kujiingiza kwenye mambo yasiyo ni husu but ndio nipo hivyo na washanizoea.
 
Sahihi

Mwanajeshi muda wote huwa kwenye operation hujui wanaenda wapi

Wakitaka u overtake huwa hawana shida anakuwashia taa ya indicator ile ya kuonyesha anaenda kushoto kukuruhusu u overtake

Nimeshakutana nao wakiwa kwenye msafara wa kusafirisha silaha kwenye convoy ukiwa unaenda taratibu nyuma kukiwa na land-rover full zimejaa Askari wa jeshi na Military police walikuwa wakifika sehemu imenyooka wanaruhusu magari ya overtake msafara bila shida


Kwa madereva mlioletewa leseni nyumbani kwa kuhonga
angalia indicator akiwasha ya kuonyesha kama anaenda kushoto overtake usipoona usithubutu

Akiwasha indicator ya kulia pia usithubutu usije sema ohh mbona hakati kulia huyu bwege wakati kawasha indicator ya kulia. Hujui kilicho mbele .Taa akiwasha indicator kulia ni kukutahadharisha kuwa huko mbele hakuko salama wewe hukuoni mimi nakuona usiaje ujuaji wa ohhh mbona haendi huko kulia.Ukijitia ujuaji ndio wale Hugongana uso kwa uso na gari akiwa ana overtake na hata akifa madereva wazoefu wanamuona bwege tu aliyekufa kibwege

Asilimia kubwa za ajali hutokana na madereva wanao overtake wakati mbele hawaoni vizuri

Nonsense.

Huwezi kuwa highway, sehemu inayoruhusu kupitwa afu usitake watu wakupite wafuate mwendo wako.

Kama wapo kwenye operation waseme, watoe matangazo, madereva wengine hawawezi kukisia eti wasikupite kisa upo kwenye mission bubu.

Kuwasha indicators ni courtesy ya madereva wote sio wajeda uchwara tu.

Mmezoea kuonewa hadi mnatetea ujinga. Huwzi kuta huu uzwazwa kwenye nchi zinazojielewa.
 
Una overtake Gari la Jeshi je, kama una Bomu la Kuwalipua? Kwani huyo Dereva wa hilo Basi angeenda na Mwendo wao au angewaamba apite ili wamruhusu angepungukiwa na nini?

Vipigo vingine kutoka kwa Wanajeshi huwa mnavitaka na Kuvilazimisha Wenyewe.

Na kwa niwajuavyo Wanajeshi ( Wajeda ) huenda kuna Kauli Mbaya au Ujeuri fulani huyo Dereva aliwatolea na hao Jamaa huwa hawabipiwi na ukiwabipu tu Wao wanakupigia.

Huyo Dereva hayuko ICU ili nikamuone?
Jeshi halina jinsi ya kutoa tahadhari kama kuna Bomu, au ndio darasa la saba wanawndeshwa na bangi? Kwa mtondo huu jeshi halina weledi!
 
Back
Top Bottom