Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

Una overtake Gari la Jeshi je, kama una Bomu la Kuwalipua? Kwani huyo Dereva wa hilo Basi angeenda na Mwendo wao au angewaamba apite ili wamruhusu angepungukiwa na nini?

Vipigo vingine kutoka kwa Wanajeshi huwa mnavitaka na Kuvilazimisha Wenyewe.

Na kwa niwajuavyo Wanajeshi ( Wajeda ) huenda kuna Kauli Mbaya au Ujeuri fulani huyo Dereva aliwatolea na hao Jamaa huwa hawabipiwi na ukiwabipu tu Wao wanakupigia.

Huyo Dereva hayuko ICU ili nikamuone?
We nawe umezidi kuwaabudu hao wajeda, huoni aibu😲😲
 
Wameanza tena kupiga raia eeh, ingekuwa enzi za CDF flani hivi kijana hana kazi ni hivi tu sasahivi jeshi limekuwa kama shamba la bibi hakuna nidhamu hakuna nini kila mtu anajiendea tu anavyotaka, mimi ningezaa naye hata kama mwanajeshi maaneener zake
Bila shaka wewe ndio ungembebea mimba siyo
 
Wameanza tena kupiga raia eeh, ingekuwa enzi za CDF flani hivi kijana hana kazi ni hivi tu sasahivi jeshi limekuwa kama shamba la bibi hakuna nidhamu hakuna nini kila mtu anajiendea tu anavyotaka, mimi ningezaa naye hata kama mwanajeshi maaneener zake
hueleweki una maana gani, nyie sukuma gang jambo lolote angelikuwepo flani. Kamfufueni huyo mfu wenu au mfuateni tumewachoka. kenge nyie
 
Wakati mwingine wanajeshi huwa wanajiona kuwa wako juu ya sheria. Kuna wengine walivunja sheria, waliovateki kwenye zebra, hapo hapo wakagonga pikipiki, gari yao ikapasuka tairi la mbele. Wakapaki pembeni kubadilisha tairi huku wananchi wakiwakoromea na wao hawakujibu kitu, walikuwa wapole kiasi cha kuwafanya wananchi nao kupoa. Hakuna aliyejeruhiwa zaidi ya gari yao kupasuka tairi. Wanajeshi wafanya fujo ni wale vijana wageni na kazi wapenda sifa na ulimbukeni kupiga wananchi au wanajeshi wenzao wa majeshi mengine
kwa hiyo uliona waliogopa? Walikuwa wanasubiri nani wa kulianzisha
 
Acha upumbavu huu,ni hawa so called wanajeshi,magari ya serikali, umma ndio vurugu kubwa kwenye mabarabara yetu, Doctor naye ni mshenzi hailezi ukweli kuwa majeruhi hayo ya mpigwa yalitokana na nini, police nayo ni ovyo why they can't arrrest a suspect, hapo ingekua raia kapiga mwanajeshi ingekuaje?,mwanausalama haruhusiwi kupiga raia
ushawahi kusikia raia kupiga mwanajeshi? we mwanajeshi unamchukulia sawa na hawa maplosi uliowazoea siyo?
 
Acha apigwe tu hakuna namna. Siku mkiacha kuogopa manguo yao mtaishi kwa kujiamini.

Kuna mwamba last year aliwakalisha chini askari 3 kwa upuuzi wao, walikosea wakamkadiria vibaya wakaingia cha kike
Mwaka 2016 kigoma
Kikosi number 24Kj Vamia

Niliwapa kichapo wanajeshi 7 mpaka kanal wa kipindi hicho hapo nyingo akaja kuniomba nisuwafundishe Raia style zangu za mapigano
 
Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika eneo la Picha ya Ndege Kibaha mkoani Pwani.


Suala sio kulipita ila yawezekana ni namna alivyopita
 
Back
Top Bottom