Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

Hukulazimishwa kufanya hiyo kazi.. ..

Na unalipwa .. ..!

Kazi zote muhimu.. .
 
Madereva wa Mabus wanafujo Sana Barabarani wanaendesha Bus Kama Ndege za ardhini wamekuwa chanzo cha Ajari za Barabarani hasa wamekuwa wakidharau Sheria na Kuover take,Hata kwenye sehemu isiyo ruhusiwa,Kama Umesoma Sheria za Udereva Kamwe Uwezi tetea Hao Madereva wa Mabus.Kikubwa Kama Umepitia Mafunzo ya Uaskari Muda Mwengine unaweza chukua maamuzi Sio Mazuri Ukiona Raia anavunja Sheria halafu anakuwa na Kiburi,Kama Askari Uwezi vumilia hata Kidogo Raia akuletee dharau Japo kuwa Muda wote Askari umetoa Maisha yako yote kwa Kiapo Kikali Sana,Halafu Mtu amebeba Roho za watu wengi.MTU ANAENDESHA GARI KAMA ANACHEZA GAME.Swala Kama Hilo ni Hapana Katika Sheria za Udereva
 
Ivi mjeda ukimpiga za usoo akaona wazungu mia mia Kuna kesiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787],inamaana Jamaa hawapihiki mbona always wao Ndo hupiga....ukute hapo dogo anamiaka 28 kampiga baba 45....seeee mi namwonyesha ukengee labda wawe 7.
Gwanda zile kaka ni msala mzito
 
Mwandiko!!!
 
Upo 85% [emoji106][emoji106]
 
[emoji3][emoji3][emoji3], wajeda wasaidie kuwashikisha adabu hao jamaa/madereva wa rafu barabarani, wapuuzi sana.
 
Umefafanua vizuri. Madereva wa mabasi unadhani hawajafunzwa sheria za barabarani na kuzitii?

Huwa wanafanya makusudi au ndio sheria za kuendesha rafu zinawaruhusu? Au wanafanya makusudi?

Acha wajeda wawaonje kidogo huenda wakawa na adabu barabarani.
 
Hao madreva wa mabasi ya mkoa wakorofi mno barabarani. Leo yupo mmoja kani overtake pale boko magengeni tena darajani kihuni mno.

Siwaoni huruma hata kidogo hawa wahuni!
 

Kumbe dereva mwenyewe alishasema kama “_Baada ya Kukaidi” so kipigo alikitaka mwenyewe tu
 
Acha apigwe tu hakuna namna. Siku mkiacha kuogopa manguo yao mtaishi kwa kujiamini.

Kuna mwamba last year aliwakalisha chini askari 3 kwa upuuzi wao, walikosea wakamkadiria vibaya wakaingia cha kike
Natamani niisome stori ya huyo mwamba 😁
 
Watu wajinga sana,ukivamiwa,jitetee,usiogope manguo,hivi unadhani JW kwanini wanapendaga kupigana kimakundi?Ile ni kulinda aibu ya kupigwa na mtu asiyekua askari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…