General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Ngoja huyo boda wamfume wamfireh na chupa ya konyagiHao madogo wanajeshi wanajifanya wababe sana wakati wake zao wanamegwa na bodaboda kiulaini kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja huyo boda wamfume wamfireh na chupa ya konyagiHao madogo wanajeshi wanajifanya wababe sana wakati wake zao wanamegwa na bodaboda kiulaini kabisa.
Hukulazimishwa kufanya hiyo kazi.. ..Yaani nihenye six week ng'aing'ai(jichojicho)then raia tu aikwangue gari yangu?ni mwendo wa ngumi tu.raia ujue kuwa,askari mmoja wa jw ni sawa na polisi 200 sasa wewe jichanganye kutu overtake utaona cha mtema kuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwanda zile kaka ni msala mzitoIvi mjeda ukimpiga za usoo akaona wazungu mia mia Kuna kesiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787],inamaana Jamaa hawapihiki mbona always wao Ndo hupiga....ukute hapo dogo anamiaka 28 kampiga baba 45....seeee mi namwonyesha ukengee labda wawe 7.
Andika vizuri ueleweke. Umesemaje?Acha ujingaaa wew hakuna mtu muhm kuliko mwingine
Umuhim utakuja kwenye swala la Radharula Tuu
[emoji613][emoji613][emoji613][emoji367]
Umeandika nini hii? Hujaeleweka.Kama alisababish ajar ingeripotiw Ajari
2:- atakam amesAbishwa Ajari Sheria inaelekeza apigwee asee!!!??
Mwandiko!!!Unawez kuta hapo alikuw anamuwah demu wake , Asee umri na sifa ya kazi zinawasumbua Ndio maan wanasabish ajar maan njian kama wew dereva huwez kupaki sana kwakosa la mwez limetokea hadi unashuk kweny gari yaan hujapoa nakumwambia mwenzAko sio sawa pale
Soma TenaUmeandika nini hii? Hujaeleweka.
Upo 85% [emoji106][emoji106]...Suala la kupiga sio sahihi ila huyo dereva wa basi asifanye watu wajinga yani ka-overtake kaenda kasimama halafu kapigwa ?kuna kitu kafanya baada ya ku-overtake sababu hayo magari ya Jeshi kila siku tunaya-overtake na tunakula nayo ligi vizuri tu na hatupigwi, anaonekana kazoea tabia za hovyo barabarani na hii ni kwa madereva wengi wa mabasi.!
[emoji3][emoji3][emoji3], wajeda wasaidie kuwashikisha adabu hao jamaa/madereva wa rafu barabarani, wapuuzi sana.Kama nimekuelewa vizuri ni kuwa daladala alichomekea ist ya mjeda, na hii ni typical tabia ya daladala, bajaj, boda na mabasi ya abiria y’a mikoani kufanya hivyo kiasi kwamba usipokuwa na busara utajikuta unakwangaana nao kila siku, na anakusababishia Majanga mfukoni hana hata mia mbovu.
Same happens kwa madereva wa mabus, wako rafu sana barabarani: dereva wa bus anakuona kabisa unakuja na anaovertake anakuletea dude, inabidi utumie busara utanue apite na kama njia ni nyembamba basi utajikuta machakani na yeye katembea,
Dogo alifanyiwa hivyo na ka Raum kake na kisha dereva wa new force akatembea kamuachia msala hapo,
Hatubariki alichofanya mjeda, ila binafsi nikiweka mizania na hizi vurugu za hawa madereva wa mabus, naona sometimes kipigio cha namna hii ni muhimu sababu hata wakienda police wanahonga wanatoka.
Na hii iwe kama fundisho kwa madereva hawa wazembe na pia Jeshi la police liache kupokea rushwa na kuwapa viburi madereva,
Kuna madereva wa buses wengine wako juu ya sheria kabisa na ushahidi Upo wazi. Wapigwe tu siku mojamoja.
Upo seriazi au?Una akili za kichawa sana.
Na unaonekana unapenda sana kujipendekeza.
Wanaudhi sana hao jamaa.Kwa hili siwezi kumlaumu mwanajeshi ,madereva wa mabasi ya mikoani ni wapuuzi sana new Force nusu wanitoe roho ikabidi niingie mtaroni
Umefafanua vizuri. Madereva wa mabasi unadhani hawajafunzwa sheria za barabarani na kuzitii?Kiutaratibu vyombo vya ulinzi na usalama(JWTZ,PT, UT na TISS) vimeanzishwa kwa sheria na kanuni. Kupitia sheria na kanun hizo ndo tunapata majukumu na ukomo wa kila chombo. Ukomo wa chombo kimoja ktk utekelezaji wa kimajukumu ndo mwanzo wa chombo kingine, japo huwa wanafanya Joint Task Force ktk kutimiliza jukumu flani mfano OPS Kimbunga, OPS Kibiti na zingine nyingi.
TPDF wanazo Defence Force Regulations ktk maswala ya pesa (Volume I) na maswala ya maadili(Volume II), sheria hizi ndo uti wa mgogo ktk usimamiz na uendeshaji wa jeshi.
Jeshini kuna watu wawili, Maafisa na askari. Hawa wote hupitia course za awali za kijeshi kabla ya kula kiapo cha Utii na Ulinzi. Maisha ya askari na maafisa wawapo mafunzoni na vikosini hupaswa kuwa ya nidham na utii. Pale inapotokea askari au afisa amekengeuka taratibu za kumuwajibisha hufuatwa.
Jeshini uongoz huanzia ngaz ya section mpaka ngaz ya juu kabisa. Ngaz ya sec wapo sec commander na 2IC wake. Ngaz ya Platoo yupo Pl commander na 2IC wake hvyhvyo ktk brigade. Ktk ngaz hzo zote za kiuongoz VOLUME I & II husimamiwa na kufuatwa kwa msaada wa Military Police.
Askar walio wengi ni darasa la saba, form four na six. Mbaya zaid hawa ndo man-power majeshin. Wao hufunzwa kutii amri ya mkuu wake na kutumia nguvu. Hawa hawafundishwi hz sheria za maadili na maswala ya pesa. Ila kwa maafisa pale TMA bila ya shaka hufunzwa sheria hizi kwakuwa wao huandaliwa kuwa viongoz majeshin.
Hvyo basi, kiwango cha matukio ya mafisa wa jeshi kumpiga raiya au kugomea chombo kingine cha ulinzi na usalama ni ktk viwango vidogo sn ukilinganisha na matukio ya askari. Hivyo, TPDF yabid kuwapa askari wake mafunzo ya sheria na kanuni hz, ili kuepuka kulipaka Jeshi letu matope ya kujichukulia sheria mkonon kw askari mmojammoja.
Walipapaswa tu hao.kwanza hajapigwa kaguswa guswa tu
Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika eneo la Picha ya Ndege Kibaha mkoani Pwani.
Natamani niisome stori ya huyo mwamba 😁Acha apigwe tu hakuna namna. Siku mkiacha kuogopa manguo yao mtaishi kwa kujiamini.
Kuna mwamba last year aliwakalisha chini askari 3 kwa upuuzi wao, walikosea wakamkadiria vibaya wakaingia cha kike