Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

Alikuwa na kitu kama kisu!!! Kwa maneno mengine si kisu kwani polisiccm wameshindwa kuthibitisha. Hao polisiccm aliowajeruhi watatu aliowajeruhi alitumia nini kuwajeruhi? Je, polisiccm watatu walishindwa kutumia nguvu kumdhibiti huyo dreva hadi wamuue!? Huyo aliyemuua ana kesi ya kujibu na afukuzwe kazi mara moja.

 
Hapa shahidi mwaminifu Ni Mungu TU, maelezo ya Polisi hayaaminiki now days!

Ukute walimpa kisago akakata Moto, zen wakatengeneza story, kama n kwel Basi kulikua na namna baina yao wawili!
 
Hapa shahidi mwaminifu Ni Mungu TU, maelezo ya Polisi hayaaminiki now days!

Ukute walimpa kisago akakata Moto, zen wakatengeneza story, kama n kwel Basi kulikua na namna baina yao wawili!
Kuna mengi hayatafahamika hapa
 
Huyo dogo kazikwa juzi ubungo changanyikeni (nyuma ya chuo kikuu)ni bwana mdogo tuu nasikia alienda kwa nia ya kuomba wale polisi msamaha lakini kukawa kuna polisi mmoja alikuwa anamsukuma sukuma na kumpiga makofi dogo kumbe nae alikuwa na kisu kiuno alipoona polisi anazidi mpiga akakitoa kamchoma nacho yule polisi mwingine alipoingilia nae kala mwenzao mwenye silaha akaona isiwe tabu ndo akamaliza alafu wakampa hiyo kesi (alikuwa anajaribu kunyang'anya silaha)"dogo nae alikuwa ostazi kweli kweli ni mpare mwenye itikadi kali hadi kwao wote wana msimamo huo wa kidini
(Za chini chini)inasemekana hao jamaa hapo beria eti ikifika mda fulani jioni huwa wanakula sana tungi eti wananunuliwa na baadhi ya wafanya biashara wanaopitisha mizigo yao kinyemela.. (naomba niishie hapo tafadhali)
 
Kama ni kweli basi wendawazimu ulimpanda na askari naye akakosea kidogo akampa ya mbavu
Walichezea visu hadi wamelazwa hospital dereva nasikia alikuwa na kisu kiuno (kile cha kujilinda si unajua ma ostazi hawakosagi?) Dogo alikusa ulamaa kazikwa kwao changanyikeni (nyuma ya chuo kikuu mlimani)
 
Hakuna kitu hapo, uongo mtupu. Mharifu hupewa onyo asimsogelee askari, akikaidi hupigwa risasi eneo lolote lisilo hatarishi. Polisi Tanzania ni kama mwanamke, usimwamini hata akiwa uchi.
 
Duh asee hatari sana. Huyo utingo aliekuwa nae mbona hajahojiwa aeleze ukweli halisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…