Dereva wa Mamlaka ya Bandari na wenzake wafikishwa Kizimbani kwa Wizi wa Mafuta lita Milioni 9

Kama China hao ni risasi zakisogo tu bila kucheleweshwa.

Wale wasiojulikana wangekuwa wana eliminate watu kama hao ningewaona wa maana
sahihi sana kama hao watu wangeulinda uchumi wetu kwa nguvu na wivu mkubwa tungefika mbali sana na sio kuhangaika na wanasiasa ambao sioni kama kelele zao zinaweza zikahatarisha usalama wa Taifa letu.
 
DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.

Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.

Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Aiseee unapga dili defu then unabaki nchn wajinga sana wangesepa kla mtu kivyake
 
Wizi wa namna hii mara nyingi huwa ni mtandao, ukichunguza kwa undani Sana utabaini kwamba kuna Watu wengi Sana watakuwa wamehusika katika wizi huo.
 
Kosa 2019 mpaka 22, mashtaka 2014:

  • Wana wahasibu
  • Auditors

Tanzania ni channel ya comedy aisee!
 
Ukisikia money laundering ndio kama hizo sasa
Mwanamke anaenda china anashusha makontena kumbe nyuma kuna mfadhili wa mafuta
Halafu kwenye mitandao wanamsifia ya kuwa huyu mama au dada atafika mbali na ni mbunifu haswa 😄
 
Mmoja namfahamu anamiliki migodi ya dhahabu na biashara za magari ya mikoani na shule.aAwamu ya kizimkazi wanaiba sana pesa.
 
Ilikuaje hawakuwahusisha maboss ...hizo kesi uko zipo nyingi sema nyingi maboss wanahusika kwahyo zinaisha tu
 
Ni Kweli. Na miongoni mwao ni vigogo walio ndani ya Kampuni hiyo.
Siyo mabosi wa ndani wa kampuni hiyo tu, kwa uzoefu wangu binafsi kuhusiana na matukio ya namna hii, uhalifu wa namna hii huwa pia unawahusisha hata baadhi ya Vigogo waliopo ndani ya Jeshi la Polisi, Tiss na baadhi ya Makampuni binafsi ya shughuli za Ulinzi zinazohusika hapo bandarini. I'm talking from the experience!

Nisingependa kueleza kwa undani zaidi kuhusu suala hili.
 
Yeah. Ukitazama Mazingira ya tukio (kama kweli lilitokea) haiwezekani just a mere driver na hao wachache waliotajwa waweze kuiba kiasi hicho cha mafuta na kwa muda mrefu hivyo bila kugundulika.
 
Sasa hizi deals ndio utaona mtu anatamba na hela baada ya kufungua kiduka cha nguo au perfume na hamjui utajiri kaupatia wapi kumbe mwenzenu anadeals zake ila kutwa kucha ni kututambia kwenye mitandao kuwa hardworking pay..!
Wanakuwaga na nyodo balaa
 
Aiseee unapga dili defu then unabaki nchn wajinga sana wangesepa kla mtu kivyake
Unakuta deals hizo ni miaka 10 wamepiga hivyo..na mnufaika mkubwa ni mtu anayewatuma wao usikute waliishia kupewa posho tu..
 
Sasa hizi deals ndio utaona mtu anatamba na hela baada ya kufungua kiduka cha nguo au perfume na hamjui utajiri kaupatia wapi kumbe mwenzenu anadeals zake ila kutwa kucha ni kututambia kwenye mitandao kuwa hardworking pay..!
Kweli kbs yan utajiri wa mtu una siri ila ukimuuliza siri ya mafanikio yake atakwambia anapambana sana n.k
 
Back
Top Bottom