Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa jicho la 3 wako sahihi.Safi sana hawa vijana wapongezwe . As long as hii nchi tunanunua magari ya gharama kwa ajili ya viongoz hawana makosa. Hawa vijana wameamka mapema kufanya la maana.
Kweli kabisa. Kesi haina Ushahidi wenye mashiko ila hawa jamaaWamtafute mwanasheria nguli wanachomoka as long wanahela
sahihi sana kama hao watu wangeulinda uchumi wetu kwa nguvu na wivu mkubwa tungefika mbali sana na sio kuhangaika na wanasiasa ambao sioni kama kelele zao zinaweza zikahatarisha usalama wa Taifa letu.Kama China hao ni risasi zakisogo tu bila kucheleweshwa.
Wale wasiojulikana wangekuwa wana eliminate watu kama hao ningewaona wa maana
Aiseee unapga dili defu then unabaki nchn wajinga sana wangesepa kla mtu kivyakeDEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.
Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441
Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Hawajapiga dili lolote hapo. Kwa sasa hawana hata sh. mia hapo mfukoni.Aiseee unapga dili defu then unabaki nchn wajinga sana wangesepa kla mtu kivyake
🤣🤣🤣 sasa wanashtakiwa kwa lipi?Hawajapiga dili lolote hapo. Kwa sasa hawana hata sh. mia hapo mfukoni.
Wanatuhumiwa tuu.🤣🤣🤣 sasa wanashtakiwa kwa lipi?
Wizi wa namna hii mara nyingi huwa ni mtandao, ukichunguza kwa undani Sana utabaini kwamba kuna Watu wengi Sana watakuwa wamehusika katika wizi huo.DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.
Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441
Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Ni Kweli. Na miongoni mwao ni vigogo walio ndani ya Kampuni hiyo.Wizi wa namna hii mara nyingi huwa ni mtandao, ukichunguza kwa undani Sana utabaini kwamba kuna Watu wengi Sana watakuwa wamehusika katika wizi huo.
Siyo mabosi wa ndani wa kampuni hiyo tu, kwa uzoefu wangu binafsi kuhusiana na matukio ya namna hii, uhalifu wa namna hii huwa pia unawahusisha hata baadhi ya Vigogo waliopo ndani ya Jeshi la Polisi, Tiss na baadhi ya Makampuni binafsi ya shughuli za Ulinzi zinazohusika hapo bandarini. I'm talking from the experience!Ni Kweli. Na miongoni mwao ni vigogo walio ndani ya Kampuni hiyo.
Yeah. Ukitazama Mazingira ya tukio (kama kweli lilitokea) haiwezekani just a mere driver na hao wachache waliotajwa waweze kuiba kiasi hicho cha mafuta na kwa muda mrefu hivyo bila kugundulika.Siyo mabosi wa ndani wa kampuni hiyo tu, kwa uzoefu wangu binafsi kuhusiana na matukio ya namna hii, uhalifu wa namna hii huwa pia unawahusisha hata baadhi ya Vigogo waliopo ndani ya Jeshi la Polisi, Tiss na baadhi ya Makampuni binafsi ya shughuli za Ulinzi zinazohusika hapo bandarini. I'm talking from the experience!
Nisingependa kueleza kwa undani zaidi kuhusu suala hili.
Wanakuwaga na nyodo balaaSasa hizi deals ndio utaona mtu anatamba na hela baada ya kufungua kiduka cha nguo au perfume na hamjui utajiri kaupatia wapi kumbe mwenzenu anadeals zake ila kutwa kucha ni kututambia kwenye mitandao kuwa hardworking pay..!
Kwa sasa hawatajitokeza sana kwani mashavu yamewashuka na nyuso zao sijui watazificha wapi. Hakuna marefu yasiyo na ncha/mwisho. Kutesa kwa zamu.Wanakuwaga na nyodo balaa
Unakuta deals hizo ni miaka 10 wamepiga hivyo..na mnufaika mkubwa ni mtu anayewatuma wao usikute waliishia kupewa posho tu..Aiseee unapga dili defu then unabaki nchn wajinga sana wangesepa kla mtu kivyake
Kweli kbs yan utajiri wa mtu una siri ila ukimuuliza siri ya mafanikio yake atakwambia anapambana sana n.kSasa hizi deals ndio utaona mtu anatamba na hela baada ya kufungua kiduka cha nguo au perfume na hamjui utajiri kaupatia wapi kumbe mwenzenu anadeals zake ila kutwa kucha ni kututambia kwenye mitandao kuwa hardworking pay..!