Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

Na ndio maana Kuna vijana wakataa NDOA humu maaana wameshajiona AKILI zao n km za huyu mume wa huyu dadaa ..ss Ili wasifikie uko ndio maaana wanakataaa mapema ndoa ..[emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaa bora waendelee kufanya hivyo, kuepushaa matatizo mengine makubwaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoto ana miezi 6 na ndoa yao ilivunjika tangu mwaka juzi hii inamaanisha kuwa mtoto si wake kazalishwa na mwanaume mwingine huko na kama haitoshi bado anamganda X wake ili wagawane Mali qmmke
Km walichuma wote?na mahakama ilikua inasimamia case hiyo, au hujasoma hapo??
 
da hatari sana mkuu,pesa unaitafuta kwa uchungu baada ya kupata kianzio unaoa matokeo yake unakuwa hivi!? mwanamke amekuja na ndala tu afu..dah, minilichojifunza hatanikioa shughuli za mali simuhusishi, kama nitaona sio fea naandikisha watoto.
 
Umeachana na mumeo Tena inawezekana chanzo ni wewe.

Umepata bwana na umezaa nae. Maana mtoto ana miezi sita na ndoa ilivunjika mwaka juzi.

Bado unataka kumfilisi mtalaka wako eti mgawane mali.
Kuna matatizo yakujitakia.
Na unaweza kukuta chanzo ni mwanamke kabeba ujauzito wa mtu mwingine / alikuwa na mahusiano ya nje mda mrefu, sihukumu lakini najaribu kuvuta picha tu
 
Mimi shida yangu, drop the action kama mtoto yupo. Unamuumiza mtoto bure. Huyo kijana kakosea sana labda awe chizi.

Angemsaka tu mwanamke huyo sehemu anamwagia.

Pili, jamani, watanzania kuna watu wana roho mbaya sana. Yaani umetumwa unafanay unyama kiasi hicho. Je! Ukiwa mlengwa si unaweza waogesha tindikali mama na mtoto kabisa.
 
kwa ulimwengu wa sasa kuoa ni jambo la hatari sana. wanaume tuendelee tuu kuwatia mimba warembo lakini sio kuoa.
jamamani mwanake anayehitaji mimba ajitokeze
Tatizo la siku hizi watu wengi tuko closed minded sana mtu unaamini kitu fulani kikishindikana unasema haiwezekani. Usiogope changamoto usiogope kuanza upya. Unaanza upya lakini una Faida ya kuwa na uzoefu. Hii ni changamoto kubwa kwa sababu Vijana wengi hawajapitia Jando. Kuna mstari wa biblia unasema usitumie uwezo wako wa kufikiri pekee bali mshirikishe Mungu. Ukitumia uchambuzi wa kiphilosophia wa huu mstari wa biblia,utagundua kwamba tumeambiwa tuwe wajinga katika maisha tupokeee kila kitu kama tulivyo.Usijiwekee kwamba kitu fulani hakiwezi kunitokea au sitakubali. Ukifanya hivyo utaingia kwenye Majaribu ambayo itabidi uuwe au hata ufanye mambo ya kutisha. Ni muhimu sana kupokea changamoto na kuzitafutia uchambuzi. Kwa kukaa chini na kufikiri. Yaani kuna watu walivurugwa na wake zao, ndugu zao na watoto wao na bado wakasimama. Just imagine mwanaume unapambana na Maisha ndugu wanakuombea mabaya Wazazi wameshafariki, Mke naye hayuko upande wako watoto ndo kabisa wanajiharibia maisha ili wakukomoe ila bado upo strong. Kuna Fogo mmoja ni rafiki anaishi maisha haya na mambo yanaendelea. Anapambana na Kazi na biashara zinasimama na zinazidi kukua. Ukitumia uwezo wako wa kufikiri katika maisha utafocus kwenye mambo yasiyo na msingi.
 
Wewe unarwafi sio bure!! Kama unaona mm demu Nigee mnduku uone!! Mimi Huwa hawashangaa sana demu mnashindwana nmapigana!? Mademu kibao!??
Samahani chief, nimekosea.
Tupo kwenye faceless forum na mimi uwanagundua jinsia ya mtu kupitia mihemko yake.
Sikujua ikiwa we ni ME. mara nyingi uwa nipo sahihi kwa kuhotea jinsia za watu hapa Jf. Mazoea yameniponza!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…