Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

Amesema walitenganishwa na mahakama.
Kwanini mahakama haikutoa tamko la mali walipoachana.

Haya mambo muda wote huwa ni magumu.
 
Wanawake acheni tamaa ukipata bwana mpya kwa makosa yako mwenyewe mali za mume wako wa zamani zinakuhusu Nini?
 
Tamaa ya mali mbaya sana,si angetulia tu na bwana wake mpya watafute mali zao,Sasa huyo bwana mpya atampenda na ulemavu huo kweli.
 
Ila kumtendea ukatili ex wako sio kabisa, kushindwana sio uadui.
 
Kwa sababu watu wameacha misingi ya Mungu iwatakayo waishije katika ndoa ni Bora watu waone kwa kufuata nyota zinazoendana.
Wengi hatuna elimu kuhusu ndoa ndo maana talaka na migogoro haishi hasa kwa kizazi hiki cha shetani
 
Ukute aliyemzalisha,ndiye kamwambia nenda kadai,tupate hela.
Umeachana na mumeo Tena inawezekana chanzo ni wewe.

Umepata bwana na umezaa nae. Maana mtoto ana miezi sita na ndoa ilivunjika mwaka juzi.

Bado unataka kumfilisi mtalaka wako eti mgawane mali.
Kuna matatizo yakujitakia.
 
Back
Top Bottom