Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jul 1, 2023 #81 Hatari
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Jul 1, 2023 #82 mjumbe wa bwana said: Hahahhaaaaa wewe njoo PM tuyajenge Click to expand... Mkuu komaa...
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Jul 11, 2023 #83 Hatimaye kesi imefutwa
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jul 11, 2023 #84 Amesema walitenganishwa na mahakama. Kwanini mahakama haikutoa tamko la mali walipoachana. Haya mambo muda wote huwa ni magumu.
Amesema walitenganishwa na mahakama. Kwanini mahakama haikutoa tamko la mali walipoachana. Haya mambo muda wote huwa ni magumu.
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jul 11, 2023 #85 Wanawake acheni tamaa ukipata bwana mpya kwa makosa yako mwenyewe mali za mume wako wa zamani zinakuhusu Nini?
Wanawake acheni tamaa ukipata bwana mpya kwa makosa yako mwenyewe mali za mume wako wa zamani zinakuhusu Nini?
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jul 11, 2023 #86 Tamaa ya mali mbaya sana,si angetulia tu na bwana wake mpya watafute mali zao,Sasa huyo bwana mpya atampenda na ulemavu huo kweli.
Tamaa ya mali mbaya sana,si angetulia tu na bwana wake mpya watafute mali zao,Sasa huyo bwana mpya atampenda na ulemavu huo kweli.
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jul 11, 2023 #87 Ila kumtendea ukatili ex wako sio kabisa, kushindwana sio uadui.
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jul 11, 2023 #88 Kwa sababu watu wameacha misingi ya Mungu iwatakayo waishije katika ndoa ni Bora watu waone kwa kufuata nyota zinazoendana. Wengi hatuna elimu kuhusu ndoa ndo maana talaka na migogoro haishi hasa kwa kizazi hiki cha shetani
Kwa sababu watu wameacha misingi ya Mungu iwatakayo waishije katika ndoa ni Bora watu waone kwa kufuata nyota zinazoendana. Wengi hatuna elimu kuhusu ndoa ndo maana talaka na migogoro haishi hasa kwa kizazi hiki cha shetani
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Sep 4, 2023 #89 Ukute aliyemzalisha,ndiye kamwambia nenda kadai,tupate hela. mambio said: Umeachana na mumeo Tena inawezekana chanzo ni wewe. Umepata bwana na umezaa nae. Maana mtoto ana miezi sita na ndoa ilivunjika mwaka juzi. Bado unataka kumfilisi mtalaka wako eti mgawane mali. Kuna matatizo yakujitakia. Click to expand...
Ukute aliyemzalisha,ndiye kamwambia nenda kadai,tupate hela. mambio said: Umeachana na mumeo Tena inawezekana chanzo ni wewe. Umepata bwana na umezaa nae. Maana mtoto ana miezi sita na ndoa ilivunjika mwaka juzi. Bado unataka kumfilisi mtalaka wako eti mgawane mali. Kuna matatizo yakujitakia. Click to expand...