Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

Ila tuende mbele turud nyuma kama angekua analeta hesabu zinazoeleweka usingemtimua maana kupata kijana wa kuleta hesabu mjini ndo kipengele
Kipengele kivipi?mimi ikifika saa 3, nataka kuona meseji ya crdb inaingia, piga picha deposit slip nitumie for record ...hela yangu inabidi iingie mwisho wa siku husika, na nikiona hujali gari kwenye usafi na uendeshaji nakunyang'anya papo hapo, ukakae mtaani
 
Duh Huyu Mwamba ni mtu mbadi kiwango cha SGR. Anafanya vijana wote tusiaminike sasa!
Hili tatizo limenikuta, kama huna hizi tabia kazi utapata tu usiogope, tabia zake sio kikwazo cha wengine kukosa kazi
 
Yaani mimi kama analeta hesabu zangu vizuri na gari haipati hitilafu za mara kwa mara na inakuwa katika hali ya usafi, he is good to go. Ntamkanya kuhusu tabia yake ili angalau kumpunguzia speed ila chombo ntamwachia tu. Maana huyu ni bora zaidi ya yule anayechomoa spea anaziuza na kusingizia zimekufa.
 
Gari mpka ana*iria mashoga wa Magomeni, kumbuka siku namfuma alikuwa anatafuna shoga, nilichukizwa sana,
 
Sasa boss Kama hesabu yako unapewa bila shida na gari anaitunza vzr shida iko wap hiyo ndo starehe yake
 
Ndo umeamua kuja kunisema huku, na hautakaa upate dereva anayekuletea hesabu zilizokamilika kama mimi maana nawajua madereva walivo, ni kweli nilikua nafanya hivo ila kazi nilikua napiga kisawasawa maana hiyo ndo motivation yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…