Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

Sioni ajabu hapo, kuna demu nilimwajiri nikampatia chumba cha kuishi 'for free' lakini akawa analeta wanaume kulala nao kwenye chumba changu.

Maisha yetu yamejaa vioja sana.
 
Ndo umeamua kuja kunisema huku, na hautakaa upate dereva anayekuletea hesabu zilizokamilika kama mimi maana nawajua madereva walivo, ni kweli nilikua nafanya hivo ila kazi nilikua napiga kisawasawa maana hiyo ndo motivation yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gari mpka ana*iria mashoga wa Magomeni, kumbuka siku namfuma alikuwa anatafuna shoga, nilichukizwa sana,
Wee unataka hesabu zako, au mtindo wake wa mahusiano ya mapenzi? Mbna ulivuka mipaka ya mkataba wenu. Lol
 
Sana ni wengi mno, wengine mpaka wanaomba hela kwenye magari wakati wa foleni, ukimwambia utarudishaje anakwambia nifungulie mlango wa gari nikupe tako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi.

Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini baadae akaomba abaki nayo ili akimaliza kazi aweze kuifanyia usafi.

Nikakubali ombi lake niliona lina mashiko. Baadaye kijana akawa anafunga kazi saa tatu bila mimi kujua, kumbe kuanzia saa tatu mpaka asubuhi anat*mbea na kuf*r*a mashoga ndani ya gari yangu usiku kucha.

Kuna demu wake aliyekuwa anamtafunia kwenye gari yangu wakagombana yule demu akamwambia atamwaribia kazi akaanza harakati za kumtafuta boss wake ambaye ni mimi hatimaye akanipata na kunipa data zote.

Hatimaye nikafuatilia nikagundua ni kweli mtoto yule ni mfir*aj* na mt*mba*j* aliyekubuhu na gari yangu imekuwa kitanda chake cha kufanyia hiyo michezo.

Jana nikamnyang'anya gari nikakabizi kijana mwingine. Kwakweli vijana wenzangu acheni kuingiza hii michezo kazini kwasababu inaharibu malengo.


Kama gari ni zima, analitunza na kukupa hesabu yako, mengine kufa fuatilia ni umbea na ujinga.

Kwani madereva wote wa bolt na uber mademu zako wamegombana nao mpaka wapate taarifa?

Wasingegombanana ungejua? Angalia maslahi, na uzima wa gari, mengine ni ya kwake.
 
Uza tu Hilo gari ununue jingine, akakuwekea maroho ya ufilaji humo, na mikosi kama yote
 
huyu mwandishi ana lake si bure hii story haina uhalisia au unatangaza biashara
 
Back
Top Bottom