Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi.

Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini baadae akaomba abaki nayo ili akimaliza kazi aweze kuifanyia usafi.

Nikakubali ombi lake niliona lina mashiko. Baadaye kijana akawa anafunga kazi saa tatu bila mimi kujua, kumbe kuanzia saa tatu mpaka asubuhi anat*mbea na kuf*r*a mashoga ndani ya gari yangu usiku kucha.

Kuna demu wake aliyekuwa anamtafunia kwenye gari yangu wakagombana yule demu akamwambia atamwaribia kazi akaanza harakati za kumtafuta boss wake ambaye ni mimi hatimaye akanipata na kunipa data zote.

Hatimaye nikafuatilia nikagundua ni kweli mtoto yule ni mfir*aj* na mt*mba*j* aliyekubuhu na gari yangu imekuwa kitanda chake cha kufanyia hiyo michezo.

Jana nikamnyang'anya gari nikakabizi kijana mwingine. Kwakweli vijana wenzangu acheni kuingiza hii michezo kazini kwasababu inaharibu malengo.
Tupe namba za hiyo gari tuiogope kama ukoma
 
Gari ni ya kubeba abiria sio kutafunia watu hilo ndo sharti aliloharibu
Kama garii inatunzwa na hesabu inaletwa bila shida hukutakiwa kumfukuza , siku ukimpata mtu asiyetunza gari na kuleta hesabu kwa shida utamkumbuka huyo womaniser.
 
Baada ya kupewa taarifa nikafuatilia anakopaki usiku wa manane nikamfuma ndani ya gari akitafuna shoga😔
Shoga ndio anaofanya hesabu ziletwe maana analipia huduma ya kufeerwa kwa bei juu 🤣🤣🤣
 
Kwaio daslamu mashoga ni wengi kias hicho??
Sana ni wengi mno, wengine mpaka wanaomba hela kwenye magari wakati wa foleni, ukimwambia utarudishaje anakwambia nifungulie mlango wa gari nikupe tako
 
Kwaio daslamu mashoga ni wengi kias hicho??
Sana ni wengi mno, wengine mpaka wanaomba hela kwenye magari wakati wa foleni, ukimwambia utarudishaje anakwambia nifungulie mlango wa gari nikupe tako
 
Back
Top Bottom