Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

Sioni ajabu hapo, kuna demu nilimwajiri nikampatia chumba cha kuishi 'for free' lakini akawa analeta wanaume kulala nao kwenye chumba changu.

Maisha yetu yamejaa vioja sana.
 
Ndo umeamua kuja kunisema huku, na hautakaa upate dereva anayekuletea hesabu zilizokamilika kama mimi maana nawajua madereva walivo, ni kweli nilikua nafanya hivo ila kazi nilikua napiga kisawasawa maana hiyo ndo motivation yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gari mpka ana*iria mashoga wa Magomeni, kumbuka siku namfuma alikuwa anatafuna shoga, nilichukizwa sana,
Wee unataka hesabu zako, au mtindo wake wa mahusiano ya mapenzi? Mbna ulivuka mipaka ya mkataba wenu. Lol
 
Sana ni wengi mno, wengine mpaka wanaomba hela kwenye magari wakati wa foleni, ukimwambia utarudishaje anakwambia nifungulie mlango wa gari nikupe tako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Kama gari ni zima, analitunza na kukupa hesabu yako, mengine kufa fuatilia ni umbea na ujinga.

Kwani madereva wote wa bolt na uber mademu zako wamegombana nao mpaka wapate taarifa?

Wasingegombanana ungejua? Angalia maslahi, na uzima wa gari, mengine ni ya kwake.
 
Uza tu Hilo gari ununue jingine, akakuwekea maroho ya ufilaji humo, na mikosi kama yote
 
huyu mwandishi ana lake si bure hii story haina uhalisia au unatangaza biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…