Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

Mabosi njaa huwa sifanyi nao kazi kama wewe.kama analeta pesa yako mlivyokubaliana na hakusumbui hakuna shida.masuala yake binafs achana nayo,kwa hiv ulivyo kama una nyumb hata wapangaj wako wana shida.
 
Boss kamaindi Hesabu inatolewa toka kwa upinde na sio safari za Bolt 🤣
Bosi awe mpole.. sisi hesabu tunaleta, pesa inapatikanaje anajua mungu😂🤣

Dogo kaona yaani niende gesti na chumba chenye ac kipo ,free bot😂🤣
 
Hizi gari za kununua kwa watu, unazipeleka nyumbani zinabebea wazazi, mke / mume, watoto kumbe zinaf*ria mashoga aisee.
 
Yaani kaa ujue hili maderva teksi ni malaya na hizo gari ziwe zao au sio wanafanya tu chakufanya ungekuwa unachukua pesa mlioahidiana kwa wiki. Basi maana hata huyo ni shida hiyi hiyo.
 
Ndo umeamua kuja kunisema huku, na hautakaa upate dereva anayekuletea hesabu zilizokamilika kama mimi maana nawajua madereva walivo, ni kweli nilikua nafanya hivo ila kazi nilikua napiga kisawasawa maana hiyo ndo motivation yangu
Kumbe wewe ni Lifiraji?,***** zako watu km ninyi mnapaswa kufumuliwa malinda km mnavyowafumua wenzenu kisha mchomwe na moto wa gesi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Usinunue gari toka kwa mbongo

Mambo yenye ndio kama haya.

Gari inanuka mimavi, harufu za K na kondomu imejaa minuksi balaa
Washenzi sana hawa watu, magari yamegeuzwa madanguro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…