LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Kuroga sio dawa,SWALI....
Hawarogeki?????
Kuna zama zitafika, unatafuta soko Haramu la silaha.Una nunua
Unamtafuta mbaya wako kimya kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuroga sio dawa,SWALI....
Hawarogeki?????
YAP...wanaitwa MAFIAKuroga sio dawa,
Kuna zama zitafika, unatafuta soko Haramu la silaha.Una nunua
Unamtafuta mbaya wako kimya kimya.
Kuoa mwanamke wa TRA kunahitaji moyo.
Ni Ile taipu unamuambia mke wangu Leo nataka tule kitu Fulani anakujibu ingia jikoni hata wewe una mikono
Ukitaka stress oa mwanamke anayefanya kazi TRA. Especially wale wenye night shift.Hapo umewazushia.
Inaonekana unamfahamu vizurAtasingizia yuko kazini.....TRA ni task force tu huyo kitengo......mbona anajulikana......kesi ikiisha task force bye bye.........serengeti kunamhusu......hata kama ni best na Waziri....Katibu wa Mama
Tuwe na subira. Tusisahau ya 7baya. Ushahidi upo nje nje aliumiza wanànchi wa Hali ya chini lakini saambaya Yuko mtaani anakunywa whysky.Atasingizia yuko kazini.....TRA ni task force tu huyo kitengo......mbona anajulikana......kesi ikiisha task force bye bye.........serengeti kunamhusu......hata kama ni best na Waziri....Katibu wa Mama
Hayaa ngoja tusubiri .....atamlipa fidia yule kijana...lazimaTuwe na subira. Tusisahau ya 7baya. Ushahidi upo nje nje aliumiza wanànchi wa Hali ya chini lakini saambaya Yuko mtaani anakunywa whysky.
Watanganyika tujipange zama za chura hz mpk watumalize KABISA.
All the best
Tuseme ndo imeisha hvyo au..
Kwahiyo Polisi wamemtoa kibosi kupitia mlango wa nyuma?..wapuuzi kweli!..
Ilisemwa jamaa ni uthalama eti