Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Atakua mke jina tu.Huyo ni Mungu mume....mkewe angekuwa na uthubutu wa kumuuliza alipo asingekesha club...
Nidhamu hana na wala haeshimu ndoa yake....baba jinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua mke jina tu.Huyo ni Mungu mume....mkewe angekuwa na uthubutu wa kumuuliza alipo asingekesha club...
Nidhamu hana na wala haeshimu ndoa yake....baba jinga
Ukiona hivyo ujue hao ndio wale walioruka stage kwenye maisha yao ya ujana...Afisa na huyo mwenzake wote wapumbavu miaka hii kweli wanaume mnatukanana, kupigana na kutoana damu kisa malaya wa club za usiku?
Kizazi hiki cha wanaume kinazidi kuongezeka kwenye sifa ya ujinga.
Hata wanawake watakuwa wanatushangaa. Kweli malaya wa kufanya mtoane ngeu?
Mwanaume yoyote anayepigana na mwanaume mwenzake kwa sababu ya mwanamke ni simp
Usenge mtupu kmmmk
Umesema vyemaUkiona hivyo ujue hao ndio wale walioruka stage kwenye maisha yao ya ujana...
Huyo Derick bila shaka ndio wale washikaji kipindi tuko nao School walikuwa ni waoga wa wanawake, hivyo wakawa wanasubiri wamalize masomo kisha wapate kazi ndio waanze kufanya umalaya wakipewa confidence na vijisent.
Imagine mtu umeoa halafu Bado unaenda kugombania mwanamke Tena club halafu mpaka una hatarisha maisha yako na ya mwanaume mwenzio kiasi hicho???.... Hakuna mwanaume timamu ambaye hakuruka stage anaweza akafanya ujinga kama huo.
Kweli hataambulia chochote,mtu yuko TRA na isitoshe ni mtoto wa dingi ambaye enzi za JK alikuwa DC na Deputy Governor wa BOT.Ndio ni Derick Derick Jr hana ubiniMtu yuko TRA unategemea nini? Huyo mtu ni hatari bado anapewa dhamana.
Aliyejeruhiwa aombee polisi wamkutanishe na mtuhumiwa wamalizane apewe chochote kitu la sivyo hata ambulia chochote.
Hilo ni jibu, pigia mstari.Tuseme ndo imeisha hvyo au..
Mbona kwenye habari ya awali ilisemwa aliejeruhiwa na kaka wa huyo mwanamke. Sio demu wake ni dada yakeAfisa na huyo mwenzake wote wapumbavu miaka hii kweli wanaume mnatukanana, kupigana na kutoana damu kisa malaya wa club za usiku?
Kizazi hiki cha wanaume kinazidi kuongezeka kwenye sifa ya ujinga.
Hata wanawake watakuwa wanatushangaa. Kweli malaya wa kufanya mtoane ngeu?
Mwanaume yoyote anayepigana na mwanaume mwenzake kwa sababu ya mwanamke ni simp
Usenge mtupu kmmmk
Mtoto wa D governor anaweza kua mshamba kiasi Cha kutoa silaha bar? Labda mtoto wa nje ya ndoa maana wengi waliozaliwa nje ya ndoa Ni watoto wa michepuko or semi prostitute na Ni mabumunda yasiyo na maadili. Wanachojua Ni kudeka tu na hawana marafiki wa kweli wa kuwashauri.Kweli hataambulia chochote,mtu yuko TRA na isitoshe ni mtoto wa dingi ambaye enzi za JK alikuwa DC na Deputy Governor wa BOT.Ndio ni Derick Derick Jr hana ubini
Just imagine anapigana kisa mwanamke wa bar za usiku wa manane nyumbani kaacha mke.Afisa na huyo mwenzake wote wapumbavu miaka hii kweli wanaume mnatukanana, kupigana na kutoana damu kisa malaya wa club za usiku?
Kizazi hiki cha wanaume kinazidi kuongezeka kwenye sifa ya ujinga.
Hata wanawake watakuwa wanatushangaa. Kweli malaya wa kufanya mtoane ngeu?
Mwanaume yoyote anayepigana na mwanaume mwenzake kwa sababu ya mwanamke ni simp
Usenge mtupu kmmmk
Masaki ni ya wamakonde,,,,Kimara ni ya kina BWASHEEEEEWatu wa Masaki walikua wanatusema Sana sisi wa Kimara.
",Eti siwezi kwenda bar za uswazi ambàko naweza kupasuliwa jicho na chupa ya pombe. Kumbe huko kwao Madaki ndio ovyo kabisa, unaweza ukashonwa risasi halafu kirahisi tu muuaji anapewa dhamana.
Kuanzia Leo pombe zangu no huku Kimara au nikienda mbali Ni Goba.
Inawezekana kila mlevi Masaki ana bastola ndio maana sikuona jamaa wakishangaa. Ingekua huku Kimara mtuhumiwa angekua kwenye friji Muhimbili.
SWALI....Huyu ushahidi upo unaonekana watasema bado wanafanya UCHUNGUZI. Boni Yai, alikamatwa akiwa kakaa bar, haja mjeruhi yeyote, na hakuna ushahidi wowote lakini dhaman yake ilikuwa ngumu kweli kweli.
Nchi hii omba usizeeka ukatoka serikalini, au ukapoteza kadi ya CCM.
Narudia tena kusema.....Mahakama ya Wahuni inamfaa sana huyu Juniour, na atakutana nayo tu labda awe sio wa kujichanganya viwanja
Nimesoma mara 3 sijaelewa ulichoandika Tanzania yangu sijui imejaa wasomi wa aina gani?Atasingizia yuko kazini.....TRA ni task force tu huyo kitengo......mbona anajulikana......kesi ikiisha task force bye bye.........serengeti kunamhusu......hata kama ni best na Waziri....Katibu wa Mama
Hata mashuleni wqnaoelewa ni wqchache sana wengine hukariri kama vipi wewe pita humo humo....Nimesoma mara 3 sijaelewa ulichoandika Tanzania yangu sijui imejaa wasomi wa aina gani?
Acheni kutisha watu huyo kima watu wakitaka kumkalisha wanamkalisha vizuri tu labda akimbie Nchi hakuna cha DC wala DG Wahuni wakimsalandia anakatwa kichwa mapema sana na hamtakiona kichwa chake sehemu yoyote sana sana mtazika kiwiliwili tu shenzizenu, mmekaa kiupuuziupuuzi sijui DC sijui DG wa BOT matakoyenu kenge wadogonyieKweli hataambulia chochote,mtu yuko TRA na isitoshe ni mtoto wa dingi ambaye enzi za JK alikuwa DC na Deputy Governor wa BOT.Ndio ni Derick Derick Jr hana ubini
Umeandika upuuziupuuzi unafikiri nani atakuelewa zaidi ya wapuuzi wenzioHata mashuleni wqnaoelewa ni wqchache sana wengine hukariri kama vipi wewe pita humo humo....
Kwa heri....ukiwa take it huwezi potezea...wenzako weengi wameelewa ....Umeandika upuuziupuuzi unafikiri nani atakuelewa zaidi ya wapuuzi wenzio