Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Watu wa Masaki walikua wanatusema Sana sisi wa Kimara.
",Eti siwezi kwenda bar za uswazi ambàko naweza kupasuliwa jicho na chupa ya pombe. Kumbe huko kwao Madaki ndio ovyo kabisa, unaweza ukashonwa risasi halafu kirahisi tu muuaji anapewa dhamana.
Kuanzia Leo pombe zangu no huku Kimara au nikienda mbali Ni Goba.
Inawezekana kila mlevi Masaki ana bastola ndio maana sikuona jamaa wakishangaa. Ingekua huku Kimara mtuhumiwa angekua kwenye friji Muhimbili.