Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba details muhimu za mke wake kama hutojali mkuu,Hapana ni Kibinti kabisa
NaonakabisaAfisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha.
Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Hakimu Mfawidhi Is-haq Kuppa huku aliyejeruhiwa pia akifika mahakamani hapo.
Inadaiwa alitenda makosa hayo Oktoba 27, 2024 maeneo ya Masaki ‘1245 night club’ Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo alimjeruhi kijana Julian Bujuru kwa kumpiga na kitako cha bastola.
Pia inadaiwa alimjeruhi Julian Bujuru sehemu ya jicho na pua.
Soma Pia: Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Baada ya mshtakiwa kusomewa mashtaka hayo alikana makosa, huku mahakama ikimpa masharti ya dhamana ya mtumishi wa umma atakayesaini bondi ya Shilingi Milioni Nane.
Mtuhumiwa huyo alitimiza masharti hayo ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 20, 2024 itakapoitwa tena mahakamani kwa ajili ya kutajwa.
Hata hivyo mtuhumiwa aliweza kutokea mlango wa nyuma ili kukwepa mapaparazi ambao walijipanga maeneo hayo.
Naona kabisa mpk alietendewa keshakubali maana ili jamaa apewe dhamana ilitakiwa usalama wa yule aliepigwa ujulikane kaumia Kwa kisasi gani sasa kaka Hadi kafika mahakamani ni ili kukuonesha hakimu kua afya yake sio mbaya sanaAfisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha.
Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Hakimu Mfawidhi Is-haq Kuppa huku aliyejeruhiwa pia akifika mahakamani hapo.
Inadaiwa alitenda makosa hayo Oktoba 27, 2024 maeneo ya Masaki ‘1245 night club’ Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo alimjeruhi kijana Julian Bujuru kwa kumpiga na kitako cha bastola.
Pia inadaiwa alimjeruhi Julian Bujuru sehemu ya jicho na pua.
Soma Pia: Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Baada ya mshtakiwa kusomewa mashtaka hayo alikana makosa, huku mahakama ikimpa masharti ya dhamana ya mtumishi wa umma atakayesaini bondi ya Shilingi Milioni Nane.
Mtuhumiwa huyo alitimiza masharti hayo ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 20, 2024 itakapoitwa tena mahakamani kwa ajili ya kutajwa.
Hata hivyo mtuhumiwa aliweza kutokea mlango wa nyuma ili kukwepa mapaparazi ambao walijipanga maeneo hayo.
Karma is real
kumbe kesi haijaishaakifika nyumbani anakutana na kesi ya kujibu kwa mkewe
Kazi anayoakifika nyumbani anakutana na kesi ya kujibu kwa mkewe
Mwamba hadi akili imkae sawakumbe kesi haijaisha
Kazi yenyewe si ndogoKazi anayo
Naomba details muhimu za mke wake kama hutojali mkuu,
Hapana ni Kibinti kabisa
Hiyo labda aliyetenda kosa angekuwa kiongozi wa Chadema, angenyimwa dhamana kwa Usalama wakeHawaogopi raia wenye hasira kali?
Imekuwaje alipomjeruhi Bujuru alituonyesha hadharani na akiwa na Jeuri zote, ila leo huko Polisi katokea Mlango wa nyuma?Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha.