TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

Zamani nilidhani kama wewe kwa CCM, baada ya kuona Magufuli has gone nilifuta hii dhana!
Sipo CCM wala chadema.
Nilikuwa namsapoti Magufuli lakini sijawahi kuwa ccm, sasa hivi kidogo nawaelewa upinzani lakini mimi sio mwanachama wa upinzani.
 
Pumzika salama kamanda mwenzetu, alama uliyoicha na mbegu uliyoipanda hakika utakumbukwa kwa matunda na taswira yako. Mungu ni mwema kila wakati.
 
Kwamba enzi zaa dhalimu magu tulikuwa hatujui yupi kaagiza auwawe, au yupi kafa natural death? Ben saa8 baada ya kuhoji PhD ya dhalimu alifia hospitali gani?
Na huyu kafaje?
 
Nilidhani wana chadema huwa hawafi (joking msiniponde mawe).
Alale salama kamanda.
Wewe umeanza vituko.Wote ni watanzania.Achana na mambo ya mavyama.Nyumbani kwangu mimi ni CCM ninayeshabikia ukinzani.Watoto na mama yao wote ni utopolo...ooh sorry.Ni CCM lialia.Nawacheki tu.
 
Wewe umeanza vituko.Wote ni watanzania.Achana na mambo ya mavyama.Nyumbani kwangu mimi ni CCM ninayeshabikia ukinzani.Watoto na mama yao wote ni utopolo...ooh sorry.Ni CCM lialia.Nawacheki tu.
Mi nimeuliza kiutani tu mkuu wewe huonagi wanavyofurahiaga viongozi wa ccm wakifa, au hujawahi kuona.
Kifo ni kifo wote tutakufa.
 
Taarifa haijakamilika.. tuelezeni Nini kimemsibu...
 
Back
Top Bottom