Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Amekufa katika Bwana, heri mtumishi na Mpatanishi kama Derrick maana atauona ufalme wa Mungu.RIP Kamanda, msalimie Mawazo!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekufa katika Bwana, heri mtumishi na Mpatanishi kama Derrick maana atauona ufalme wa Mungu.RIP Kamanda, msalimie Mawazo!.
Kafia hospitali akiwa kwenye matibabu, sio Samia kaagiza.Na huyu kafaje?
Acha uzwazwa, usiingilie mipango ya Mungu, huwezi kujua ataenda wapi.Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho.
View attachment 3230298View attachment 3230301
Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.
View attachment 3230308
Hujanikosea mkuu.Nimekuelewa.My apologies muheshimiwa.
Asante mkuu.Nakutumia nakala ya katekisimu uperuzi kidogo ukivutavuta muda.Hujanikosea mkuu.
HahahaKafia hospitali akiwa kwenye matibabu, sio Samia kaagiza.
Gwanyoko classmateNilidhani wana chadema huwa hawafi (joking msiniponde mawe).
Alale salama kamanda.
Matendo ndio yana define Fate ya Mtu. We endelea kutenda dhambi ukidhani tutamwingilia Mungu.Acha uzwazwa, usiingilie mipango ya Mungu, huwezi kujua ataenda wapi.
Ameni kubwa.Amekufa katika Bwana, heri mtumishi na Mpatanishi kama Derrick maana atauona ufalme wa Mungu.
Amekufa katika Bwana, heri mtumishi na Mpatanishi kama Derrick maana atauona ufalme wa Mungu.
Hata wakifa wanaenda MbinguniNilidhani wana chadema huwa hawafi (joking msiniponde mawe).
Alale salama kamanda.
Labda alipatwa na mshtuko kwa Lissu kuwa Mwenyekiti akijua anaenda kuiua Chadema.Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho.
View attachment 3230298View attachment 3230301
Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.
View attachment 3230308
Swali namba moja kwenye katekisimu ya zamani miaka ya 80 na 90.Asante mkuu.Nakutumia nakala ya katekisimu uperuzi kidogo ukivutavuta muda.
Sawa sawa kamanda. Ni jambo la kheri.Hata wakifa wanaenda Mbinguni
Kumjua,kumpenda na kumtumikia ili tufike kwake mbinguni.Swali namba moja kwenye katekisimu ya zamani miaka ya 80 na 90.
Kwanini tupo duniani?
Jib: Tupo duniani kwaajili ya kumtumikia Mungu na kufika mbinguni kwa njia hii.
Santeeee😀😀😀Gwanyoko classmate
Na usipomtumikia straight to hellKumjua,kumpenda na kumtumikia ili tufike kwake mbinguni.
Hata sasa wanaweza kuwa wanajipanga kutoa "tamko" ha ha ha ha, wazee wa matamko.Enzi za JPM mngesema ameuawa
Hiyo lazima.Na usipomtumikia straight to hell