TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho.

View attachment 3230298View attachment 3230301

Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.

View attachment 3230308
Labda alipatwa na mshtuko kwa Lissu kuwa Mwenyekiti akijua anaenda kuiua Chadema.

Anyways, Mungu akuweke pahala alipokuandalia!
 
Tarehe 9 january waliyoandika hapo ni typing error ama tumechelewa kupata taarifa?

Nwei,apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom