TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

Ooh samahani, hakuna aliyewahi kupigwa risasi nadhani uko sahihi mkuu.
Waliopigwa risasi wanajijua na wengine wanajulikana. Huyu amekufa kifo cha aina gani? Nieleweshe...
Kwamba wao natural death imesamehewa kwao..wanakufa kwa kuuwawa tu
 
Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho.

View attachment 3230298View attachment 3230301

Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.

View attachment 3230308
Kila nafsi itaonja umauti ndrugu zangu.
R.I.P gentleman.

hata hivyo huyo nabii mtoa taarifa hakuliona hilo mapema, au hua anaonyeshwa unabii wa mauti kwa wenye mawazo na maoni tofaut na yake tu?🐒
 
Waliopigwa risasi wanajijua na wengine wanajulikana. Huyu amekufa kifo cha aina gani? Nieleweshe...
Kwamba wao natural death imesamehewa kwao..wanakufa kwa kuuwawa tu
Unajua unachouliza mkuu. From Magufuli hadi leo kusanya vifo vya wapinzani kwa ujumla ni vingi na wajane na yatima wamejazana mtaani kwa ukichaa wa uongozi wa kijinga wa mtu mweusi eti uhasama wa kisiasa. Ndiyo maana Trump anatutukana
 
Jana kuna mtu mkubwa taarifa za kifo zimetangazwa humu. Nenda kafungue ule uzi ndio utaona tofauti ya Mtu wa Mungu na mtu wa miungu. Ule uzi wamekomenti hawazidi 10.
Hata uzi wa papa walicoment watu 100 je una maoni gani?
 
Unajua unachouliza mkuu. From Magufuli hadi leo kusanya vifo vya wapinzani kwa ujumla ni vingi na wajane na yatima wamejazana mtaani kwa ukichaa wa uongozi wa kijinga wa mtu mweusi eti uhasama wa kisiasa. Ndiyo maana Trump anatutukana
Sijabisha hao wengine. Vipi kuhusu huyu?
 
Back
Top Bottom