TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

Wewe kasirika tu mkuu😀.
Mimi sio kada wa ccm. Nimesema hivyo kwasababu chadema huwa wanafurahia vifo vya wana ccm.
Njoo basi tunywe beer
Hivi mjinga kama wewe hata kama mtu atakuponda mawe, si atakuwa amekuonea tu? Ni wapi uliona Chadema wameandika kuwa hawafi au wanapenda wana CCM wafe? Magufuli alipokufa watu walio ndani ya CCM ndiyo wa kwanza kushangilia na kusema Mungu kaamua ugomvi! Kwa nini unataka kuwasingizia Chadema?
 
Do not take things too personal mkuu.Punguza wahka.
 
Hivi mjinga kama wewe hata kama mtu atakuponda mawe, si atakuwa amekuonea tu? Ni wapi uliona Chadema wameandika kuwa hawafi au wanapenda wana CCM wafe? Magufuli alipokufa watu walio ndani ya CCM ndiyo wa kwanza kushangilia na kusema Mungu kaamua ugomvi! Kwa nini unataka kuwasingizia Chadema?
Relax ndugu. Acha makasiriko life is too short.
 
Kinachonisikitisha ni nabii feki Lema hakutabiri kifo cha rafiki yake.Kifo ni sehemu ya maisha.Maisha yanapofikia mwisho hamna laana wala utabiri feki.Lema aache huo ujinga wa kutabiria watu kifo.Angekuwa anapewa "maono" angeona kifo cha rafiki yake.
 
Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho.

View attachment 3230298View attachment 3230301

Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.

View attachment 3230308
Mungu amejificha haonekani........viipi tusheherekee kifo chake kama wapumbavu wa chadema kwa vifo vya wengine .....
 
Ila chadema mna akili mbovu sana ...mbona kama umeleta taarifa kiugomvi na kwa mashaka
 
Back
Top Bottom