TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho.

View attachment 3230298View attachment 3230301

Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.

View attachment 3230308
"Kila nafsi itaonja mauti, na kwa hakika mtapewa ujira wenu kamili siku ya Kiyama. Basi, atakayeepushwa na Moto na akaingizwa Peponi, huyo ndiye aliyefanikiwa. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu. Quran
 
Mbona tarehe imeandikwa ya zamani sana, 9 Januari?. Hii imenikumbusha taarifa iliyowahi kutolewa na CCM ikawa imekosewa tarehe then wanasiasa fulani fulani wakaanza kusema ilikuwa imeshapangwa siku nyingi na lile tukio liliratibiwa.

Sasa chadema hii taarifa yenu wanasiasa nao.wakianza kusema yale yale mtakuja kujitetea au kutia huruma na kulalamika hovyo?.

Lengo labgu ni kukumbusha na kuzidi kuonesha kuwa wakati mwingine kabla hatujaanza kutumia matukio kujinufaisha kisiasa tufikiri sana matokeo yake na uhalisia wa mambo.

Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema mja wake huyu.
 
Ni makosa kidogo ya uandishi tu
 
Sawa sawa kamanda. Ni jambo la kheri.
Kuwa mwanachadema staight mbinguni. Imekaa vizuri hii😀😀
Inabidi tukachukue kadi za uanachama wa chadema mana ndio tiketi ya kuingia kwa Sir God 😎
 
Mungu amejificha haonekani........viipi tusheherekee kifo chake kama wapumbavu wa chadema kwa vifo vya wengine .....
Jana kuna mtu mkubwa taarifa za kifo zimetangazwa humu. Nenda kafungue ule uzi ndio utaona tofauti ya Mtu wa Mungu na mtu wa miungu. Ule uzi wamekomenti hawazidi 10.
 
Nilidhani wana chadema huwa hawafi (joking msiniponde mawe).
Alale salama kamanda.
Wauaji ndiyo huwa wanaamini kuwa wao na hao wanaowatuma huwa hawafi. Lakini kama unaamini kifo ni njia ya kila mwanadamu, huwezi kumwua binadamu mwenzako ukidhani kuwa ni adhabu au njia ya kumkomoa au kumkomesha.

Pile sana wanafamilia, ndugu, marafiki na CHADEMA wote.

Mungu wa huruma, tunakuomba uipumzishe kwa amani Roho ya Derrick, na uwajalie moyo mkuu wanafamilia ili kulipokea tukio hili gumu kwa mwanadamu, kwa moyo wa unyenyekevu na matumaini.
 
Nilidhani wana chadema huwa hawafi (joking msiniponde mawe).
Alale salama kamanda.
Wanakufa zaidi kwa risasi za wasiojulikana na kutupwa maporini, ndiyo maana hatuhudhurii misiba yao, wanaozika maporini ni Simba, fisi na mbwa mwitu.
 
Back
Top Bottom