Hiyo avatar UK umeipendea nndaah! kwa hii komenti yako naiona picha jinsi gan ulivyokuwa kiwembe
lee empire umeona hii post ya Daby au umevunga tu1. Asprin.
Huyu jamaa kwanza ni swahiba wangu. Kwa wasiomkumbuka alikuwa anaitwa Chrispin enzi zilee. Anapenda sketi saana saana. Kuna siri kibao nimemfichia kwa shemeji yangu kiasi kwamba akinimind tu nasema na ataachika soon.
Anapenda kuongea pumba saana na ukifuatilia post zake utaishia kucheka. MO11 anatabia zinazofanania na huyu ila sema mo11 mdomo wake mzito[emoji23][emoji23]. Ila wapo smart saana wawapo serious.
2. Shunie. Haka kadada ka tanga aseeh kanachekesha saana. Kwanza muda wote kapo online JF nafikir mchuchu wake anakaribia kufilisika[emoji16] kwa bundle.kama hakanunuliwi bundle kaje kabishe hapa.
Ukikatania kukatongoza basi katakujibu kwa unyonge hadi unakaonea huruma. Nafikiri kanaheshimu mahusiano yake maana viwembe wa jf kama Saint Ivuga ameshindwa kukachukua.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] wewe auoni iyo sura ilivyokuwa ya mvutoHiyo avatar UK umeipendea nn
hapana.daah! kwa hii komenti yako naiona picha jinsi gan ulivyokuwa kiwembe
wewe si una 16
12wewe si una 16
Hahahaa[emoji123] [emoji123] [emoji123] wewe auoni iyo sura ilivyokuwa ya mvuto
Mond lee empire ndiyo nanilee empire umeona hii post ya Daby au umevunga tu
Hahaha asante umeuelewa mchezo.Kwangu wa kwanza BAK kwanza nionavyo atakuwa umri umeenda kwani ana heshima zake pia ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya siasa , mpenda mpira pia nionavyo na kwenye muziki hayupo nyuma. Kiufupi huwa nafurahi nikiona michango yake popote lazima niipitie kwani najua nitapata kitu sitaondoka bure.
Wa pili ni huyu mtu mmoja Bonny sijui huwa anajichimbiaga wapi mana anaonekana kwa mikatiko , nionavyo naye huyu anajielewa ndio mana anapenda kuchagua thread za kucomment japo kwa upande mwingine naye ni kama Asprin mana ukiingia kwenye anga zake utajuta kwa hayo mashushu na maneno ya mkato.
Wapo wengine wengi ila ndio idadi inabana. Sakayo
Shunie
Raimundo
Numbisa
Asprin
Bob12
Transcend na wengine wengi pia nawakubali vibaya mno.
Hujanielewa nimemaanisha nn yani unajua hata mm ni MTU mzima lkn wew ni wahaja/makamoKwa hapo sawa. Eeh mi mtu mzm
Utamuona tu akija huku. Mm simoMond lee empire ndiyo nani
MmmmhhHaha ofcourse nina miongo kadhaa hata nikifa kesho sitaona wivu na dunia
Mkuu wacha tu nashindwa nimuweke nani nimuache nani kwakweliHahaha...haya. sijaona uikielezea watu wako.
Kwangu wa kwanza BAK kwanza nionavyo atakuwa umri umeenda kwani ana heshima zake pia ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya siasa , mpenda mpira pia nionavyo na kwenye muziki hayupo nyuma. Kiufupi huwa nafurahi nikiona michango yake popote lazima niipitie kwani najua nitapata kitu sitaondoka bure.
Wa pili ni huyu mtu mmoja Bonny sijui huwa anajichimbiaga wapi mana anaonekana kwa mikatiko , nionavyo naye huyu anajielewa ndio mana anapenda kuchagua thread za kucomment japo kwa upande mwingine naye ni kama Asprin mana ukiingia kwenye anga zake utajuta kwa hayo mashushu na maneno ya mkato.
Wapo wengine wengi ila ndio idadi inabana. Sakayo
Shunie
Raimundo
Numbisa
Asprin
Bob12
Transcend na wengine wengi pia nawakubali vibaya mno.