Nilitegemea swali hilo ndio mana nakakuweka pembeni sijakutaja.Hahaha asante umeuelewa mchezo.
Ila nimesononeka saana kutokuwepo kwenye list yako.
Tehtehteh nimekulewa saana.Nilitegemea swali hilo ndio mana nakakuweka pembeni sijakutaja.
Nawe pia Daby kwangu ni mtu wa nguvu kwani kwa nionavyo comment zako bado ni kijana japo tulijiunga mwaka mmoja jf unaonekana una roho nzuri ya kusaidia watu na huna uchoyo wa kumpa darasa kwa asichokijua mtu hasa kwa mambo yahusuyo jf kwa ujumla.
Una roho ya kipekee kwa kweli.
Hahaaaa! Umetisha aisee.Tehtehteh nimekulewa saana.
Yeah ,,,tumezaliwa na roho nzuri hizo mbaya mnajipandikiza tu.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji39]Waulize dada zako humu ndani.
HahahaaTehtehteh nimekulewa saana.
Yeah ,,,tumezaliwa na roho nzuri hizo mbaya mnajipandikiza tu.
Haha sio wapenzi bhn...just watu tu.Lawama lawama ndio sababu kuu hakuna kingine.
Mi mwenyewe nimejivisha mabomu mana huwezi kujua niliowataja kama wana watu wao humu nshaweka bifu tayari.
Eddy kati ya watu ambao wamebadilika JF ni wewe . Nafikiri nikisema hivi utajua namaanisha ninimimi bwana huwa namuwaza sana Miss Natafuta nahisi ni msichana mmoja mrembo mwenye umbo zuri la kuvutia...lakini naamini hajampata mume ambae ndie mimi ninaye mngoja hapa kijijini Koromije aje nitangaze ndoa haraka...
yupo kipenzi changu, rafiki yangu nimpendaye sana Shunie nampenda hadi naogopa kumsogelea alipo, huyu nahisi ni mtafutaji sana wa pesa...natamani nimuone
FaizaFoxy namchukulia kama mama angu kiukweli huwa nashindwa kucomment ujinga sehemu nitakayoona comment ya huyu mama...namuheshimu sana na nahisi ni miongoni mwa wakina mama wachache waliobahatika kupata elimu enzi zile za zamani...nahisi anajua mengi sana na ni muelewa ambaye yupo teyari kufanya kile unachopenda akufanyie ila tu kiwe kinaendana na maadili
Kama sijakuelewa hivi?Haha sio wapenzi bhn...just watu tu.
Mimi mwenyewe nimeacha orodha ndefu saana.
mkuu, nidadafurie vizuri...kwani hapo mwanzo nilikuwaje?Eddy kati ya watu ambao wamebadilika JF ni wewe . Nafikiri nikisema hivi utajua namaanisha nini
Nimekuelewa sasa hata nilivyoisoma thread mwanzo nilielewa vivyo hivyo ni marafikiUmesema watu wanaogopa lawama a wengine wana watu wao.
Lawama sawa. Ila kuhusu watu wengine kuwa na watu wao hili halina shida maana hatutaji wapenzi just friends tu
dah...asante mkuu kumbe foot print zangu zinajurikana...kiukweli ile id ya eddy_mhando ya mwanzo ilifungwa...imepigwa ban la milele ndio maana nimeamua kuwa mpole...kama ukifuatilia account hii utagundua kuwa nimepost post moja tuu...tena tokea 2014...ila ile ya mwanzo ilikuwa na mambo mengi sana ndicho kilichonivutia kuifufua hii iliyokufa ili nisiwapoteze marafiki zangu mlionizoea.Ulikuwa mtu mmoja msumbufu saana hasa ukiona au kuskia chura. Ilifanya hadi nikakariri I'd yako.
Haha..pole mkuu. Ulikuwa mtu hatari saana.dah...asante mkuu kumbe foot print zangu zinajurikana...kiukweli ile id ya eddy_mhando ya mwanzo ilifungwa...imepigwa ban la milele ndio maana nimeamua kuwa mpole...kama ukifuatilia account hii utagundua kuwa nimepost post moja tuu...tena tokea 2014...ila ile ya mwanzo ilikuwa na mambo mengi sana ndicho kilichonivutia kuifufua hii iliyokufa ili nisiwapoteze marafiki zangu mlionizoea.