Describe and explain anything about HIm/HEr

Maumivu ya kumkosa yule mchumba wako yameshaisha?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwangu wa tatu.
Ni espy
Huyu shemeji yangu anapenda kujikuza saana. Ni katoto ka juzi ila utaskia mimi mkubwa eti
Yeye kila mwaka anabadilisha mwanaume. Nikaona basi isiwe shida nimpe jina shemeji ili kumrahishia kazi.

Anapenda pesa ila ni kwa misimu. Kama kipindi hiki naona suala la pesa hajaligusia. Ukimkuta yupo serious ni malkia wa nguvu.
 
geniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu

emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia

Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro

Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
 
jipe nafasi ya upendeleo kuna watu hapo nataka kuwaskia
 

[emoji115]Mkuu msema kweli ni mpenzi wa Mungu na kwenye hilo umesema kweli kwa hiyo wewe ni mpenzi wa Mungu!!....Kwenye huu uzi nilifikiri unatania ila nimeamini kuwa unatoa data za ukweli baada ya kuona hii fact!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…