Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
AkaaaKuna kugombana tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AkaaaKuna kugombana tena?
Maombi ya nini shemeji?Mmh, maombi mwisho lini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
mimi msichana ? niombe radhi mkuu!mimi bwana huwa namuwaza sana Miss Natafuta nahisi ni msichana mmoja mrembo mwenye umbo zuri la kuvutia...lakini naamini hajampata mume ambae ndie mimi ninaye mngoja hapa kijijini Koromije aje nitangaze ndoa haraka...
yupo kipenzi changu, rafiki yangu nimpendaye sana Shunie nampenda hadi naogopa kumsogelea alipo, huyu nahisi ni mtafutaji sana wa pesa...natamani nimuone
FaizaFoxy namchukulia kama mama angu kiukweli huwa nashindwa kucomment ujinga sehemu nitakayoona comment ya huyu mama...namuheshimu sana na nahisi ni miongoni mwa wakina mama wachache waliobahatika kupata elimu enzi zile za zamani...nahisi anajua mengi sana na ni muelewa ambaye yupo teyari kufanya kile unachopenda akufanyie ila tu kiwe kinaendana na maadili
Ha ha ha ha na badoeb huko
Wa jf na sio vinginevyoHa ha ha ha kwahyo Mie teja enheew
Watu wanagombania dushe na papuchi ukubwa huu tugpmbanie nnKuna kugombana tena?
hahahhah umebadilika sana kwahiyo avatar jiandae tu huko pmUsinisahau ni Mimi muhanga wa vyeti vya mapenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jf ni kama madawa ya kulevya ukishaathirika basi utahangaika wee mwishowe lazima hurudi.
Ha ha ha ha vingenevyo itakua uteja wa mahaba yakoWa jf na sio vinginevyo
Si ndio vizuri lakini mana bado ana uhitajihahahhah umebadilika sana kwahiyo avatar jiandae tu huko pm
Niseme nisisemeeeee!!Ha ha ha ha kwahyo acha tuseme ya wwngne maana ya kwetu yataharbu thread
Kazi ya Daby hiyohahahhah umebadilika sana kwahiyo avatar jiandae tu huko pm
sorry mpenzi...kwani msichana pia si jinsi hiyo hiyo uliyonayo...?...kama ni mwanamke unao watoto ?wangapi?mimi msichana ? niombe radhi mkuu!
Shemej yake Daby mambo naona shemej yako alikupa nafas ya upendeleoNiseme nisisemeeeee!!
Dota wangu yuko wapi?
Hakuna pengine pa kuenda ndio mana kwani huku jf kila kitu kinapatikana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni kweli kabisa, wengi washaaga kuondoka ila wanajikuta wakirudi.