Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

mimi bwana huwa namuwaza sana Miss Natafuta nahisi ni msichana mmoja mrembo mwenye umbo zuri la kuvutia...lakini naamini hajampata mume ambae ndie mimi ninaye mngoja hapa kijijini Koromije aje nitangaze ndoa haraka...

yupo kipenzi changu, rafiki yangu nimpendaye sana Shunie nampenda hadi naogopa kumsogelea alipo, huyu nahisi ni mtafutaji sana wa pesa...natamani nimuone

FaizaFoxy namchukulia kama mama angu kiukweli huwa nashindwa kucomment ujinga sehemu nitakayoona comment ya huyu mama...namuheshimu sana na nahisi ni miongoni mwa wakina mama wachache waliobahatika kupata elimu enzi zile za zamani...nahisi anajua mengi sana na ni muelewa ambaye yupo teyari kufanya kile unachopenda akufanyie ila tu kiwe kinaendana na maadili
mimi msichana ? niombe radhi mkuu!
 
Back
Top Bottom